asante shemeji yangu sikonge, mke wangu wa zamani alikuwa mnyamweziKwa nini hutafuti kwenye GOOGLE? Acha uvivu kijana. Ukizeeka kama sisi itakuwaje? Yaani kila kitu uwekewe mezani? AU ndiyo yale ya Zenji ya ".......kaka Mwamedi, njoo unikatie keki...."
Angalia hapa kwenye WIKIPEDIA na utapata kwa lugha nyingi tu nyingine, inatosha kubadili lugha:
http://sw.wikipedia.org/wiki/Mbayuwayu
Uki-google na kubadili kubonyeza juu kushoto neno GRAPHIC, utaona picha kibao za huyu ndege. Kila la kheri.
![]()
![]()
OPPSSS: Naona jamaa ameku-JAKAYA (danganya). Haitwi Sparrow.
Wakuu msaada wenu, anayejuwa mbayuwayu anaitwaje, atupe darasa,
kama kuna picha pia atuwekee
Nimechanganya... Asante... ila msamiati wako si mwafaka !!