Chadema mbunge atakayeshinda ni Mbowe na Prof Jay tu.
Sasa imekuwa Mbowe tena?
Mbona huyo alishasema harudi?
Hadi Oct 28 mtakuwa mmedoda haswa!
Chadema mbunge atakayeshinda ni Mbowe na Prof Jay tu.
Meko anakuharibia kotekote chek waunga juhudi waliwahi siti za mbele kwa kudanganywa eti upinzani utakufa,kumbe wanakwenda kufa wao.Kina karanga walihama kwa mkopo leo wanajuuta,mbele wameharibiwa nyuma wameharibiwa.2015 pamoja na nguvu ya UKAWA aliambulia kiti 1 cha ubunge, mwaka huu ndio awe chama kikuu cha upinzani [emoji23][emoji23][emoji23]
Meko alichofanikiwa ni kuua NCCR mageuzi na CUF ya Lipumba Completely, kawaingiza chaka sana.
wanapambana na laana zao.Hivi wale wabunge waliokuwa chadema wakahamia nccr mbona siwasikii
Profesa uchwara katika ubora wakeSwahiba wake anaendelea vema na kampeniView attachment 1565334
Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.
Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa ya mafuta ya kampeni. Leo hata kutoka hadharani na mama Tanzania hatoki amebaki ndani.
Wale wanachama aliovuna Mbeya na Mara sijui hata kama wanakumbuka mama Tanzania.
Ukiwa msaliti kubali kusalitiwa, amwone Lipumba alivyoachwa solemba. Kila mtu ashinde mechi yake, ukiwekeza kwa wananchi utavuna kura ila ukiwekeza kwa watawala utavuna kutawaliwa.
Hahhaa nae alikuja na jina la mama TanzaniaMbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.
Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa ya mafuta ya kampeni. Leo hata kutoka hadharani na mama Tanzania hatoki amebaki ndani.
Wale wanachama aliovuna Mbeya na Mara sijui hata kama wanakumbuka mama Tanzania.
Ukiwa msaliti kubali kusalitiwa, amwone Lipumba alivyoachwa solemba. Kila mtu ashinde mechi yake, ukiwekeza kwa wananchi utavuna kura ila ukiwekeza kwa watawala utavuna kutawaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji617]
Mrema aliwahi kuhoji huyu anakuwaje Mbunge wa Viti maalum na Sketi havai?Kwani ni jinsia gani huyu mama Tanzania?
Alituingiza kwenye 18, mamaeeee 2015