Yeye Mbatia ana usafi gani
Leo kamtimua leticea na kumvua uanachama , kwa ubabe, halafu wanasema JPM ni dictator
Yeye Mbatia ana usafi gani
Kama nime elewa vizuri, hoja ya mleta uzi ni raisi wetu kufuata katiba na sheria zilizopo ambazo aliapa kufuata, kuzilinda na kuzitekeleza na kutoa tamko eeeeh Mungu nisaidie and not otherwise,hayo mambo yote siasa na mengine yote yame elezwa vyema kwenye katiba na sheria zilizopo,binafsi napata shida kuona kosa la threadNi nani alimwambia Rais Magufuli ni msafi?
Common sense inatuambia hakuna binadamu hapa duniani aliye msafi.
Kinachonifurahisha ni kwamba, kwa sasa Mbatia amechukua cheo cha Tumaini Makene bila ridhaa ya vikao vya CHADEMA huku NCCR-Mageuzi ikimfia polepole.
Huu wimbo wa kusema Rais Magufuli siyo msafi haukufanya kazi wakati wa kampeni za Urais lakini kwa vile hakuna nyimbo zingine mpya, ndio maana bado anaendelea nao.
Nadhani Mbatia hafamu kuwa siasa zinabadilika na kama habadiliki, basi siasa zitambadilisha na kumuweka yeye na NCCR-Mageuzi katika sehemu mbaya kisiasa.
Hahahahahaaa. You are kidding!!???##@@%&&&&. Ngoja Makonda amshukie akaungane na kina Kaoge. Mbatia ni zero wa kutisha. Suala la nyumba mheshimiwa Sumaye alishalizungumzia na link mmewekewa hapo juu. Kama Mbatia bado anatafuta kick kwa hilo basi ni kweli hawana hoja tena hawa.Mbatia ni bonge la kiongozi mahiri wa kisiasa
Mbati ni dandia kotekote hana lolote huyu.RAIS John Magufuli anakabiliwa na tuhuma za ubadhirifu, jambo hilo linamwondoa kwenye orodha ya watu wasafi kama anavyotaka ifahamike hivyo,anaandika Pendo Omary.
James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- Mageuzi amemtaka Rais Magufuli kujisafisha kutokana na kashfa ya kuhusika katika kuuza nyumba za serikali kabala ya kusafisha watuhumiwa wengine wa ufisadi.
“Rais Magufuli anapaswa kujisafisha mwenyewe kwanza kutokana na kashfa inayomuhusu ya uuzwaji wa nyumba za serikali,” amesema Mbatia.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari, Mbatia amesema “tumeona ni kwa namna gani Rais Magufuli anahangaika kupambana na ufisadi au uhujumu uchumi kwa kutumia nguvu kubwa kwa vidagaa na kuacha mapapa kama wale wa Tegeta ESCROW, Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere ‘Terminal III’, makontena bandarini, IPTL, Richmond na Mradi wa Umeme wa Kinyerezi.
“Hivyo rais anapaswa kujisafisha kwanza kwa kuwa na yeye anatajwa kuhusika katika kashfa ya uuzwaji wa nyumba za serikali,” amesema Mbatia.
Mbatia amesema, katika kufanikisha hayo Rais Magufuli anapaswa kuacha kuongoza nchi kwa matamko badala yake aongoze kwa kufuata Katiba, Sheria na Kanuni za Nchi.
“Demokrasia imeendelea kukiukwa huku uhuru wa kujieleza ukiendelea kudidimizwa. Kutokana na hali hiyo, nchi sasa iko kwenye hali mbaya katika; bunge kuingiliwa, hali ya maisha ya Watanzania kiusalama iko njia panda hususani Zanzibar.
Pia, kuna ukiukwa kwa haki za wananchi kutafuta na kusambaza taarifa na matumizi ya nguvu za dola kupitia Jeshi la Polisi kwa kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa vya upinzani.
Aidha, amesema Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (NEC) imebaini athari za kiuchumi zitokanazo na uamuzi wa viongozi kufuatia matamko mbalimbali ya serikali.
Miongoni mwa athari hizo ni kupungua kwa mzigo bandarini ikiwa ni sambamba na watumiaji wa bandari wakihamia nchi jirani.
Chanzo: Mwanahalisi
Sasa wewe vipi mbona mapovu yana kumwagika kiasi hiki?Hahahahahaaa. You are kidding!!???##@@%&&&&. Ngoja Makonda amshukie akaungane na kina Kaoge. Mbatia ni zero wa kutisha. Suala la nyumba mheshimiwa Sumaye alishalizungumzia na link mmewekewa hapo juu. Kama Mbatia bado anatafuta kick kwa hilo basi ni kweli hawana hoja tena hawa.
e mliyosema hayana mashiko yoyote.JPM anahusika na kashfa nyingi tu, ikiwemo Meli Chakavu, kuhamisha fedha za umma kinyume na Mamlaka ya Bunge na kukandamiza Demokrasia ya Vyama vingi na Uhuru wa kupata Habari, kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.
Saana yaani wanatafutiza kashfa, lakini hamna kitu sisis wananchi tuko naye Rais sambamba!Mheshimiwa Mbatia unaheshimiwa sana tafadhali usijishushe hadhi yako kwa matamko ambayo hayatarajiwi toka kwako.
JPM hakuwahi kuwa na uwezo wa kuuza nyumba au mali yoyote ile ya serikali. Kwenye kuuzwa nyumba za serikali rightly or wrongly ilikuwa uamuzi wa baraza zima la mawaziri chini ya rais. Na hili lilifikiwa baada ya mjadala mrefu kuhusu nyumba hizo. Hivyo basi kumlaumu JPM eti kwa vile ametekeleza wajibu wake kisheria ni kutomtendea haki kabisa.
Kama unatafuta wa kumlaumu mbona Mzee Ben humchokozi? Tatizo la Escrow lilikuwa la kisheria mno na kwa mtu kama wewe unalifahamu vizuri sana.
Hisia zangu, rightly or wrongly ni kuwa huyu JPM anawanyima raha jinsi anavyokubalika na umma na kwa kiasi fulani mnahisi mkiendelea kunyamaza kimya basi mtakuwa hamna ajenda na hili ndiyo maana mara mnafunga midomo yenu, mara naibu spika hamumtaki[taratibu za kumng'oa mnazijua lakini hamfuati hizo].
Ushauri wangu ni kwamba kwa sasa tulieni. JPM yuko honeymoon. wananchi wengi wanamkubali na wanaamini kuwa muelekeo wa serikali yake ni mzuri kwao na honeymoon ikiisha mtapata tu mada za kuzungumzia.
Mahaba yamekujaa nsubhati mpaka unashindwa kufikiri na kuonaWatachonga weee lakini hawana jipya. Wamekosa cha kumkosoa Rais wangu JPM sasa wamebaki mara nyumba za serikali, mara mafisadi, mara amekandamiza demokrasia. Sasa ili mjue Rais wangu JPM anakerwa na ufisadi kaanzisha mahakama ya mafisadi.
Kuhusu kukandamizi demokrasia si kweli na pia demokrasia ni mikutano ya hadhara tu? Kwanza uzoefu unaonesha mikutano ya hadhara ya wapinzani imejaa uchochezi na matusi.
Uchaguzi umeisha mmeshindwa kaeni kimya subirini tena 2020. Mwisho hata huyo Mbatia naye si msafi mwambieni atoe boriti kwenye jicho lake kwanza ndo aone kakibanzi kwenye jicho la Rais wangu JPM.
Mheshimiwa Mbatia unaheshimiwa sana tafadhali usijishushe hadhi yako kwa matamko ambayo hayatarajiwi toka kwako.
Rais Magufuli ameonyesha vitendo vyote vibaya vilivyokuwa vikitendeka serikalini vilikuwa vinamuuzi lakini alikuwa hana njia. Rais Magufuli alikuwa waziri tu, asingeweza kuuza nyumba za serikali bila uwamuzi wa juu, wa Rais au kamati ya bunge. Rais Maguli hayuko kwenye honey moon, majipu ndiyo yanafikiri yuko kwenye honey moon. wanaomuombea vibaya si masikini bali ni matajiri waliotajirika kwa kunyonya damu za masikini. Milija ya unyonyaji imekatwa sasa wanababaika. Magufuli is a God sent President and no one can succeed to remove him except God. Mutasema mutachoka, just accept and move on.JPM hakuwahi kuwa na uwezo wa kuuza nyumba au mali yoyote ile ya serikali. Kwenye kuuzwa nyumba za serikali rightly or wrongly ilikuwa uamuzi wa baraza zima la mawaziri chini ya rais. Na hili lilifikiwa baada ya mjadala mrefu kuhusu nyumba hizo. Hivyo basi kumlaumu JPM eti kwa vile ametekeleza wajibu wake kisheria ni kutomtendea haki kabisa.
Kama unatafuta wa kumlaumu mbona Mzee Ben humchokozi? Tatizo la Escrow lilikuwa la kisheria mno na kwa mtu kama wewe unalifahamu vizuri sana.
Hisia zangu, rightly or wrongly ni kuwa huyu JPM anawanyima raha jinsi anavyokubalika na umma na kwa kiasi fulani mnahisi mkiendelea kunyamaza kimya basi mtakuwa hamna ajenda na hili ndiyo maana mara mnafunga midomo yenu, mara naibu spika hamumtaki[taratibu za kumng'oa mnazijua lakini hamfuati hizo].
Ushauri wangu ni kwamba kwa sasa tulieni. JPM yuko honeymoon. wananchi wengi wanamkubali na wanaamini kuwa muelekeo wa serikali yake ni mzuri kwao na honeymoon ikiisha mtapata tu mada za kuzungumzia.
Jambo la Lugumi litamvunjia heshima Rais wetu mpezi. Kama pesa za Lugumi zilitumika kwa chama basi ni vizuri ukweli usemwe otherwise inaonekana Kama serikali inachagua majipu ya kutumbua. Inasemekana Lugumi yaendelea kupata tender za serikali, kama ni kweli basi hii itawapa unyonge Watanzania wengi waliyokuwa na hope ya madiliko ya kupigania haki ya wengi ambawo walikuwa wakidhurumiwa na watu wachache.Lugumi
Mbatia ana matatizo sana,ukitaka akumalize gombea uenyekitiLeo kamtimua leticea na kumvua uanachama , kwa ubabe, halafu wanasema JPM ni dictator
Yamekaa pabaya.Majipu mengine hayatumbuliki.