HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Mbona watu wanaweweseka sana week hii? Wanaogopa nini Magufuli akiwa mwenyekiti wa CCM?
Halafu huyo Mbatia anapata wapi moral authority ya 'ubadhirifu? NCCR-Mageuzi imefia leo anasimama kuongelea uongozi wa Magufuli?