Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #21
Duu kweliKamwe kidole hakiwezi kulidhuru jicho
Duu kweliKamwe kidole hakiwezi kulidhuru jicho
Mkuu tatizo ushabiki!!! Awa jamaa baada washiriki maendeleo wanabaki na propaganda!!Mheshimiwa Mbatia unaheshimiwa sana tafadhali usijishushe hadhi yako kwa matamko ambayo hayatarajiwi toka kwako.
JPM hakuwahi kuwa na uwezo wa kuuza nyumba au mali yoyote ile ya serikali. Kwenye kuuzwa nyumba za serikali rightly or wrongly ilikuwa uamuzi wa baraza zima la mawaziri chini ya rais. Na hili lilifikiwa baada ya mjadala mrefu kuhusu nyumba hizo. Hivyo basi kumlaumu JPM eti kwa vile ametekeleza wajibu wake kisheria ni kutomtendea haki kabisa.
Kama unatafuta wa kumlaumu mbona Mzee Ben humchokozi?
Tatizo la Escrow lilikuwa lakisheria mno na kwa mtu kama wewe unalifahamu vizuri sana.
Hisia zangu, rightly or wrongly ni kuwa huyu JPM anawanyima raha jinsi anavyokubalika na umma na kwa kiasi fulani mnahisi mkiendelea kunyamaza kimya basi mtakuwa hamna ajenda na hili ndiyo maana mara mnafunga midomo yenu, mara naibu spika hamumtaki[taratibu za kumng'oa mnazijua lakini hamfuati hizo].
Ushauri wangu ni kwamba kwa sasa tulieni. JPM yuko honeymoon. wananchi wengi wanamkubali na wanaamini kuwa muelekeo wa serikali yake ni mzuri kwao na honeymoon ikiisha mtapata tu mada za kuzungumzia.
Nina unga mkono na miguu yote hoja.... na hakuna kuwalinda wale wote waliotufikisha hapa.Mh Rais leo nakupongeza sana kwa kutumbua majipu wale waliohusika kulitia hasara taifa na kulifanya taifa kuwa shamba la bibi. Kila mahali kulikuwa na hewa mh Mtukufu Rais endelea na kasi hiyo. Moto wa NSSF tumeona.
Nakuomba baba kuna huku nako tumepata hasara chonde chonde wahusika watumbue tu majipu haya hakuna namna tunakuombea sana.
1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Vivuko vibovu
3. Meli ya Kichina ile MV Dar es Salaam haifanyi kazi licha ya kununuliwa kwa bil 8.
4. Pia wale wote waliohusika na mgao wa pesa za Escrow na zile chenji za za rada tujue zilifanyia nini.
Tuko pamoja kupinga ubadhirifu.a kutumbua majipu wale waliohusika kulitia hasara taifa na kulifanya taifa kuwa shamba la bibi. Kila mahali kulikuwa na hewa mh Mtukufu Rais endelea na kasi hiyo. Moto wa NSSF tumeona.
Nakuomba baba kuna huku nako tumepata hasara chonde chonde wahusika watumbue tu majipu haya hakuna namna tunakuombea sana.
1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Vivuko vibovu
3. Meli ya Kichina ile MV Dar es Salaam haifanyi kazi licha ya kununuliwa kwa bil 8.
4. Pia wale wote waliohusika na mgao wa pesa za Escrow na zile chenji za za rada tujue zilifanyia nini.
Tuko pamoja kupinga ubadhirifu.
Mkuu tatizo ushabiki!!! Awa jamaa baada washiriki maendeleo wanabaki na propaganda!!
Alafu unamchukua MTU kama sumaye ambaye ndo muusika mkuu wa uuzwaji wa Nyumba unampa kadi ya chadema anaingia ukawaTatizo ni kwamba ndugu zangu hawa wanadhani wananchi ni mbumbumbu na hawajui kinacho endelea nchini.
Ukweli ni kwamba wananchi wa kawaida wanauelewa mkubwa kuliko wanavyofikiria. Hii inanikumbusha kuhusu mbunge mmoja wa upinzani hivi karibuni aliwekwa kapeti na wananchi wake wakitaka kujua kwa nini ameamua kutohudhuria vikao vya bunge kuwawakilisha kama mkataba wao na yeye. Jamaa alijibu kuwa anafuata maelekezo ya viongozi wake na wakamwambia jee huko mjengoni ulipelekwa na viongozi wake au ni sisi ndiyo tuliokupa kazi hiyo????
Wengi waliosikia kauli hii hawakuipa kipa umbele lakini kwa maoni yangu hiyo ni ishara tosha kuelewea kuwa wananchi hawa tunaowaita wa kawaida wanauelewa mkubwa sana kuliko tunavyofikiria. zile enzi za kuwadanganya zimepita.
Ukiangalia kwa ukweli utagundua kuwa Team Ukawa hawana mashiko tena wamekuwa ni watu wa kuvizia matukio ambayo hayana shida,Ila sio mbaya pia wakiwa wanacheza old is gold,maana aliye kubali nyumba ziuzwe ndio anatarajia kuwa director general wa pwani,Poleni ukawaNi nani alimwambia Rais Magufuli ni msafi?
Common sense inatuambia hakuna binadamu hapa duniani aliye msafi.
Kinachonifurahisha ni kwamba, kwa sasa Mbatia amechukua cheo cha Tumaini Makene bila ridhaa ya vikao vya CHADEMA huku NCCR-Mageuzi ikimfia polepole.
Huu wimbo wa kusema Rais Magufuli siyo msafi haukufanya kazi wakati wa kampeni za Urais lakini kwa vile hakuna nyimbo zingine mpya, ndio maana bado anaendelea nao.
Nadhani Mbatia hafamu kuwa siasa zinabadilika na kama habadiliki, basi siasa zitambadilisha na kumuweka yeye na NCCR-Mageuzi katika sehemu mbaya kisiasa.
Teh..tehNaona unamlazimisha bubu kuongea.
myoyambendi ;msemajiukweli nilijua umekuja na ukweli hapa.....hebu jibu alichasema mbatia ila tumsage
Pia CAG alibaini bilion 252 kupotea wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi Hewa , huku barabara ya Ubungo magomeni kutawaliwa mapungufu kibao kutokana na kuwa nyembamba sana .JPM anahusika na kashfa nyingi tu, ikiwemo Meli Chakavu, kuhamisha fedha za umma kinyume na Mamlaka ya Bunge na kukandamiza Demokrasia ya Vyama vingi na Uhuru wa kupata Habari, kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.