Inawezekana JPM ni bingwa wa kumbukumbu. Hebu angalia hii video:
Ha ha haaa! Eti ubunifu! Sadam wa Kuwait upooo!Ni Aina Yangu Tu Ya UBUNIFU Wa KUCHOKONOA Mada Ila Ukweli Ni Kwamba Nimewatega, Mmetegeka Na Sasa Mnacheza Ngoma Niliyotaka Muicheze. Nafurahi Sana KUCHEZA Na AKILI Za Watu. Sijui Kwanini Mwenyezi Mungu ALINIPA ZAWADI KUBWA YA AKILI, MAARIFA, MBINU Na UJANJA Na Hakuwapa Wengine. Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na kadoda11 Njooni Huku Muwasaidie MAPOPOMA Wenzenu Kwani Angalau Nyie Kidogo MNANIWEZA Ila Siyo Hawa. Nitawatesa Mno.
Ha ha haaa! Eti ubunifu! Sadam wa Kuwait upooo!
He who alleges must prove, wewe ndio umesema kua yeye ndio mpinzani wa kwanza duniani kutoa speech bila kusoma mahali popote, kwa maana kwamba unaushahidi wa hilo, tunauomba, tujiridhishe.Hapa ni mahakamani? Wewe ndio ulete ushaidi Wa kupinga nilichoandika ili uniprove wrong, hivi wewe ni Wa wapi?
Lakini Urais ameupata!Imagine sadaam hamjui
pole kwa kujitesa kuangaika kumuonea wivu Mbatia.Namwona hapa Clouds TV 360 mbunge wa Vunjo James Mbatia akijibaraguza kujifanya ni mtu wa kumbukumbu kila anapojibu hoja. Kwa mfano kila akiulizwa swali na kamoga badala ya kujibu hoja anaanza kwanza kutaja jina la mtu, mara tarehe ngapi, mara saa ngapi na siku ipi.
Sioni mantiki ya yeye (James Mbatia) kutaka kutuonesha kuwa ana uwezo mkubwa wa kumbukumbu na najua atakuwa anafanya hivi makusudically kabisa ili kama vile kumjibu rais Dr. Magufuli kuwa hata yeye ni " genius " vile vile.
Naomba sasa tujadili hapa hivi kati ya huyu Mbatia (mbunge) na Magufuli (rais wa nchi) nani ni bingwa aliyetukuka kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kumbukumbu na ambaye anaonekana hakariri bali vitu (data) zinatoka tu kwa mtiririko kichwani?
Kila siku anakutana na Mabalozi Ikulu, unafikiri anazungumza nao kisukuma?Na kiingereza hajui
Thread yako ina define hata umri wako, wewe ni Dogo na umevamia jiji kwa pupa, Moron.
Flash back Mbatia ameanza kuwa mbunge kabla hata ya Magufuri 1995, na yeye ukitaka kumjuwa vizuri reflect kwa Dada yake ambaye ni mbunge Wa East Afrika anaitwa Ndelikijo Kessy, kwa wanaowajuwa wachaga wale Wa Marangu Mawenya ni automatically anakuwa Kessy sawa na Mbatia. ( Tutusa kama wewe hata usome hii post miaka 100 huwezi kuelewa nilichoandika hapa.)
Genuine bonafide Mbatia ndio binadamu Wa kwanza duniani kuhutubia hotuba ya kambi ya upinzani bila kusoma popote miaka hiyo hata Magufuri hajawaza kuwa mbunge.
Kila siku anakutana na Mabalozi Ikulu, unafikiri anazungumza nao kisukuma?
Hahahaaas kaka di unajya disi wasukuma matamdhi ni janga keetuhiv magu anajua kingereza hata kidogo ha ha ha ha nakumbuka ile im not a politicians columbia university ooooh i mean university of columbia aaaah colombia hahahahaha ngachoka mie
Uwezi =huwezi, to correct you, mbatia si mbunge wa viti maalum wala wa kuteuliwa mburukenge ww! MBATIA NI MBUNGE WA KUCHAGULIWA NA WANANCHI JIMBO LA VUNJO-NCCR CHINI YA MWAMVULI WA UKAWA!uwezi kumlinganisha jembe na viti maalumu.
ooh my God! Mtu ambaye hajui kati ya Policy na Mtaala wa Elimu unatangulia upi?!?!? Mtu ambaye anajidai Tanzania haina Mitaala bila hata kujua jinsi mitaala inavyopatikana! To me no Mbatia hapana ni wale watu waliojaliwa kuwaeleza watu uongo fulani halafu wakaamini.Hauwzi mfananisha mbatia na jpm ni mbingu na ardhi.mbatia ni namba nyingine kabisa huyo magu hamna kitu ni mnafiki tuu kama wewe
Ohh my God Unafananisha Mlima na Kichuguu. Kwa Upande wa UKAWA anayeweza angalau kujaribu kulinganishwa nae ni . Dr. Slaaa Baasi. Halafu nadhani hapa ndio itakuwa mwisho wa Thread. Nadhani wengi hawana uelewa huu. Seminary za RC huwa zinachukua CREAM ya Juu kabisa. Sasa hapo mnaobisha wote mtanielewa!Huyu pombe Ana uwezo wa kumuingi mbatia sema kapata zari tu