GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Namwona hapa Clouds TV 360 mbunge wa Vunjo James Mbatia akijibaraguza kujifanya ni mtu wa kumbukumbu kila anapojibu hoja. Kwa mfano kila akiulizwa swali na kamoga badala ya kujibu hoja anaanza kwanza kutaja jina la mtu, mara tarehe ngapi, mara saa ngapi na siku ipi.
Sioni mantiki ya yeye (James Mbatia) kutaka kutuonesha kuwa ana uwezo mkubwa wa kumbukumbu na najua atakuwa anafanya hivi makusudically kabisa ili kama vile kumjibu rais Dr. Magufuli kuwa hata yeye ni " genius " vile vile.
Naomba sasa tujadili hapa hivi kati ya huyu Mbatia (mbunge) na Magufuli (rais wa nchi) nani ni bingwa aliyetukuka kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kumbukumbu na ambaye anaonekana hakariri bali vitu (data) zinatoka tu kwa mtiririko kichwani?