Mbatia tumeshamchoka sasa!
Umechoka ww na ukilaza wako sisi hatuchoki tunajitambua
Mbatia tumeshamchoka sasa!
Umechoka ww na ukilaza wako sisi hatuchoki tunajitambua
Hata mie nimemchoka kabisa.hata yeye anajua kwamba mama Tanzania haimo moyoni mwake.ni gia yakupiga dili
Anawasihi watanzania kudumisha amani iliyopo na kuwapuuza CCM kwa matamko wanayoashiria kuvunja amani ya nchi yetu.
Anasema waepuke dhana inayojengwa kwa chuki ya udini ukabila na ukanda kwamba huu ni uvivu wa kufikiri kwa viongozi wa CCM
Mwambie Mbatia akaitishe mkutano wa NCCR, watu 600 wamerudisha kadi huko Vunjo, aache kuja kwenye TV kubetua midomo kama bwabwa.
Mbatia tumeshamchoka sasa!
Wewe kama point hulazimishwi kuchangiaNdo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa
Ndo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa
yap mbatia shusha nondo