Mbatia LIVE Azam two...

Mbatia LIVE Azam two...

Hana jipya huyu mchagga mzushi sana.

Lakini kumbuka kabila la kichagga na upande wa Ccm lipo. Punguza ukabila ndugu yangu, hao wachagga wanaweza kupiga kura za chuki kwa Mbatia na Ukawa nzima nyinyiemu mkabaki midomo wazi.
 
mbatia mzr wa kujipendekeza safu ya ukawa yote n ukanda na ukabila nd maana kajisahau kwmb yy n m/kt wa nccr baadalake anafanya kaz ya chadema kw kigezo tu mchaga na mkaskazin hovyo kwl
 
Ndo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa

Ana mambo ya kike
 
UKAWA ndio wameshamiri kwenye mi tv nyakati hizi. Ccm chalii hakuna cha kinana wala nape
 
UKAWA ndio wameshamiri kwenye mi tv nyakati hizi. Ccm chalii hakuna cha kinana wala nape

wanalo basi?. kama si kubwbwaja na kutoa takwimu za hovyo hovyo tu.
 
Anashindwa kuitisha vikao kwenye chama chake. Anapoteza muda kwenye media.
 
Anawasihi watanzania kudumisha amani iliyopo na kuwapuuza CCM kwa matamko wanayoashiria kuvunja amani ya nchi yetu.
Anasema waepuke dhana inayojengwa kwa chuki ya udini ukabila na ukanda kwamba huu ni uvivu wa kufikiri kwa viongozi wa CCM

Asante sana Engineer mbatia
 
Anawasihi watanzania kudumisha amani iliyopo na kuwapuuza CCM kwa matamko wanayoashiria kuvunja amani ya nchi yetu.
Anasema waepuke dhana inayojengwa kwa chuki ya udini ukabila na ukanda kwamba huu ni uvivu wa kufikiri kwa viongozi wa CCM

Asante sana mbatia
 
Ndo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa

Utakesha ukiomba na kuloga ukawa inazidi kupasua anga na mbatia ndiye mbunge wa vunjo ambaya anasubiri kuapishwa ili aukamate uwaziri
 
Back
Top Bottom