Mbatia kidedea NCCR

nasikia kwa aibu baada ya kushuhudia demokrasia ya uchaguzi nccr,mbowe kaamua uchaguzi ufanyike june,atagombea nafasi ya uenyekiti wa cdm na kamanda yerico nyerere.

Mzalendo Ritz aliwashauri, ni bora muache kufanya uchaguzi kuliko mfanye uchaguzi wa kisanii!
 
Last edited by a moderator:
mbowe ni product ya CCM ya kudumisha fikra za ccm, naye anataka aanze kuabudiwa
Anzisha uzi wa kumponda Mbowe kama kawaida yako! Kwa taarifa yako, hata waliomtuma Zitto kuihujumu CDM wanajua kuwa bora umfadhili Mbuzi kuliko Msaliti Zitto! BTW, kwanini Maranda, Kaborou, Kafulia na Zitto? Kwanini JKN aliwapotezea? Kwanini hawa watu wana-nunulika kirahisi sana?...kuna nini kuleee?
 
Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.

Mbowe hawezi kuitisha Uchaguzi kwani wapiga kura wengi hawafaidiki na pesa za Misaada na Ruzuku pesa haifiki kule Chini kwenye mashina na mizizi pesa inamezwa makao makuu tu na akina cc sasa unategemea Mbowe akiitisha uchaguzi matokeo yatakuaje ?
 
Hivi unaweza kuuliza swali kama hili? Hivi unafikili nauli ya kutoka Mpanda - Dar ni shilingi ngapi?

Pia inakupasa utambue kuwa wajumbe wanaokuja kwenye mkutano kama huo wanalipwa nauli.

Pia mpanda kuna mzunguko mkubwa wa ela kwa biashara za kawaida tu...

Povu jingi point sifuri. Jibu swali, nani kakulipia nauli?
 
Inaamana ZZK inabidi asubirie miaka mitano huko, itabidi yeye na kafulila waanzishe mabadiliko 2014 wamtoe Mbatia ama waanzishe Chama chao.
 
Anzisha uzi wa kumponda Mbowe kama kawaida yako! Kwa taarifa yako, hata waliomtuma Zitto kuihujumu CDM wanajua kuwa bora umfadhili Mbuzi kuliko Msaliti Zitto! BTW, kwanini Maranda, Kaborou, Kafulia na Zitto? Kwanini JKN aliwapotezea? Kwanini hawa watu wana-nunulika kirahisi sana?...kuna nini kuleee?
Nini Maana ya neno msariti? Mbona Mbowe anapokea pesa nyingi toka kwa wana ccm yeye Mbona haitwi Msariti?mbowe anazitafuna pesa za chama kwa kukibambikia chama madeni feki kisha anajilipa kwa kisingizio eti anakidai chama pesa zake baadae huzitumoa pesa hizo hizo kuwakopesha wana cc ili kuwathibiti wasimguse pindi akienda kinyume na taratibu za chama Ndio Maana pamoja na kashfa zote Mbowe bado analindwa na wana cc ambao ni wafaidika wakubwa wa pesa Binafsi mbowe
 
Anzisha uzi wa kumponda Mbowe kama kawaida yako! Kwa taarifa yako, hata waliomtuma Zitto kuihujumu CDM wanajua kuwa bora umfadhili Mbuzi kuliko Msaliti Zitto! BTW, kwanini Maranda, Kaborou, Kafulia na Zitto? Kwanini JKN aliwapotezea? Kwanini hawa watu wana-nunulika kirahisi sana?...kuna nini kuleee?

endelea kuwaabudu mabwana zako wote hao wawili zito na mbowe
 
Yaani sijui hutu tu chama twingine uchaguzi huanzia wapi. Hakuna viongozi wa vijiji,kata,wilaya na hata mikoa.leo eti mwenyekiti kachaguliwa! Hongera chadema kwa kuanza na uchaguzi wa misingi/vitongoji na hatimayd ngazi ya juu.
 
Uchaguzi CDM haupo mwendo ni Zimbabwe staili au kagame stail au mseveni stail au hata Angola stail Mbowe atakuwa M/kiti hadi anakuwa kikongwe kumbuka CDM ni Chaga manfesto development Makabila mengine hawana nafasi ya Mwenyekiti wakijaribu wataishia kwenye cc tu inakuwa mwisho
 
Mbowe hawezi kuitisha Uchaguzi kwani wapiga kura wengi hawafaidiki na pesa za Misaada na Ruzuku pesa haifiki kule Chini kwenye mashina na mizizi pesa inamezwa makao makuu tu na akina cc sasa unategemea Mbowe akiitisha uchaguzi matokeo yatakuaje ?

chadema wilayani na mikoani wana hasira sana.hela ya ruzuku inaishia makao makuu tu mikoani wameambiwawajitolee chama hakina pesa kweli wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom