Mbatia kidedea NCCR

Mbatia kidedea NCCR

yale yale kama upande wa pili na wa tatu ila afadhari wanaweka japo wa kuzugia CCM na CDM wenyewe hata wa kuzugia hawataki kuweka
 
Alikua mchoma cd na mblashi viatu

Hacha upotoshaji wewe. Charles Makofila anaishi mpanda vijijini, katika kijiji cha Kibo, yeye ana duka, grocery na mgahawa. Pale kwenye biashara zake hakuna mambo ya kuchoma CD (Kwanza Kibo hakuna umeme). Pia hafanyi biashara ya ku-blash viatu..
 
Mbatia ni mwenyekiti wa Nccr aliyeukwaa ubunge kwa tiketi ya mwenyekiti wa Ccm!
Matata ni diwani wa mahakama aliyeukwaa umeya kwa tiketi ya Ccm!
Hamad Rashid, Zitto, Kafulil wanaendelea kuwa wabunge kwa tiketi ya mahakama!

Kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo! This is only in Tanzania!
 
NCCR ilianzishwa kama Kamati ya kuratibu mfumo wa vyama vingi nchini, kamati ile ilikuwa na watu wa TISS watupu...Baadae kamati ikaongeza neno MAGEUZI na hatimae kusajiliwa kama chama cha siasa nchini! To date imeendelea kufanya shughuli zake kwa TOR zile zile walizopewa kamati 1991-1992!...I wish Watanzania wangekuwa na uwezo wa kupambanua mambo zaidi! Mbatia kuteuliwa kuwa Mbunge kwa hisani ya Rais na M/kiti wa CCM haikuwa bahati mbaya!
 
Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.
 
hayo maigizo tu.chama cha ukweli ni cdm.wengine wanazuga tu

YES...chama kinachoabudu kudumisha fikra za mwenyekiti hata kama ni fikra za kishenzi....chama kinachokumbatia utaratibu wa tanu/ccm wa karne iliyopita wa kudumisha fikra za chairman....
 
NCCR ilianzishwa kama Kamati ya kuratibu mfumo wa vyama vingi nchini, kamati ile ilikuwa na watu wa TISS watupu...Baadae kamati ikaongeza neno MAGEUZI na hatimae kusajiliwa kama chama cha siasa nchini! To date imeendelea kufanya shughuli zake kwa TOR zile zile walizopewa kamati 1991-1992!...I wish Watanzania wangekuwa na uwezo wa kupambanua mambo zaidi! Mbatia kuteuliwa kuwa Mbunge kwa hisani ya Rais na M/kiti wa CCM haikuwa bahati mbaya!

watu wengi hawajui has hawa vijana waliomaliza vyuo juzi. TISS haohao baada ya kuona Marando kaua upinzani via NCCR wamemhamishia CDM anazuga huko na akina safari...manyoka wa kutisha. anzeni kuinunulia sanda cdm. Lao ni Zitto kesho ni Lisu manake wanamkumbuka sana alivyowasumbua kwenye issue ya kuzika wachimbaji madini wadogo
 
Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.

mbowe ni product ya CCM ya kudumisha fikra za mwenyekiti, naye anataka aanze kuabudiwa...na kuna mafa.la wengi tena wenye digrii hawalioni hilo wanamwabudu
 
kuna tetesi kwamba makamo mwenyekiti atateuliwa mwanamke tena kutoka mkoa wa mara na huyo mtu aliwahi kuwa kiongozi wa chadema wilaya mojawapo mkoani mara na kiongozi wa kitaifa chadema kupitia baraza kabla ya kutimkia huko nccra mageuzi hii nihofia ukabila,ukanda,pia jinsia
 
Hacha upotoshaji wewe. Charles Makofila anaishi mpanda vijijini, katika kijiji cha Kibo, yeye ana duka, grocery na mgahawa. Pale kwenye biashara zake hakuna mambo ya kuchoma CD (Kwanza Kibo hakuna umeme). Pia hafanyi biashara ya ku-blash viatu..

kama ni hivyo ni nani alimpa nauli ya kuja DAR ?
 
Mbatia ni mwenyekiti wa Nccr aliyeukwaa ubunge kwa tiketi ya mwenyekiti wa Ccm!
Matata ni diwani wa mahakama aliyeukwaa umeya kwa tiketi ya Ccm!
Hamad Rashid, Zitto, Kafulil wanaendelea kuwa wabunge kwa tiketi ya mahakama!

Kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo! This is only in Tanzania!

Wounders shall never end in this country
 
Kumbe ni mfugaji wa simbilisi
Hacha upotoshaji wewe. Charles Makofila anaishi mpanda vijijini, katika kijiji cha Kibo, yeye ana duka, grocery na mgahawa. Pale kwenye biashara zake hakuna mambo ya kuchoma CD (Kwanza Kibo hakuna umeme). Pia hafanyi biashara ya ku-blash viatu..
 
kama ni hivyo ni nani alimpa nauli ya kuja DAR ?

Hivi unaweza kuuliza swali kama hili? Hivi unafikili nauli ya kutoka Mpanda - Dar ni shilingi ngapi?

Pia inakupasa utambue kuwa wajumbe wanaokuja kwenye mkutano kama huo wanalipwa nauli.

Pia mpanda kuna mzunguko mkubwa wa ela kwa biashara za kawaida tu...
 
kama ni hivyo ni nani alimpa nauli ya kuja DAR ?

Green Guard Project...Wassira et al ndo wanaratibu juhudi za kudhoofisha upinzani nchini...wanajua fika kuwa CCM ya sasa haiwezi kusalimika bila ya kupata usaidizi wa vyama walivyoviasisi kwa malengo ya kuiwezesha CCM kuendelea kutawala...CDM pekee ndo chama cha Upinzania ...Mark my word...
 
Back
Top Bottom