Mbatia kidedea NCCR

Sawa umesikika kachukue posho ukalale siku tukianzaa fyekana huku tunaulizia dini,kabila, kanda ndo utajua faida ya us!!!!::ge wa vitu mnavopandikiza
kuna tetesi kwamba makamo mwenyekiti atateuliwa mwanamke tena kutoka mkoa wa mara na huyo mtu aliwahi kuwa kiongozi wa chadema wilaya mojawapo mkoani mara na kiongozi wa kitaifa chadema kupitia baraza kabla ya kutimkia huko nccra mageuzi hii nihofia ukabila,ukanda,pia jinsia
 
Kumbe ni mfugaji wa simbilisi

Mkuu sasa hivi mpanda, vijana wote wamejikita kwenye biashara ya kulima tumbaku, yaani vijana wote utawakuta mashambani wanalima (Ila utakuta mtu 1 ana ekari 1 au 2)... Wanadai tumbaku inalipa sana.
 
Ko kumbe ni mkulima wa hekali mbili za tumbaku nccr kweli wanajua maigizo

Mkuu sasa hivi mpanda, vijana wote wamejikita kwenye biashara ya kulima tumbaku, yaani vijana wote utawakuta mashambani wanalima (Ila utakuta mtu 1 ana ekari 1 au 2)... Wanadai tumbaku inalipa sana.
 
Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.
nasikia kwa aibu baada ya kushuhudia demokrasia ya uchaguzi nccr,mbowe kaamua uchaguzi ufanyike june,atagombea nafasi ya uenyekiti wa cdm na kamanda yerico nyerere.
 
Ko kumbe ni mkulima wa hekali mbili za tumbaku nccr kweli wanajua maigizo

Makofila halimi tumbaku. Nilikuwa namaanisha vijana wa Mpanda. Hata hivyo, biashara zake ni ndogo-ndogo tu, pia sidhani kama mtu akiwa anamiliki/kufanya biashara ndogo-ndogo kunaweza kumzuia kugombea uongozi ndani ya chama....
 
Tukubali mfumo wa vyama vingi sasa ili tuwe na fursa ya kuratibu mwenendo wa siasa za vyama vingi hapa TZ by JK Nyerere. Pengine kimoja wapo ni CUF, TLP na NCCR ndo vilianzishwa na CCM ili kurahisisha upinzani TZ
 
Mkuu sasa namanisha kua ni kituko sawa nawewe unenda gombea uenyekiti ccm pale kwenye kivuli cha picha unataka ukae wewe
Makofila halimi tumbaku. Nilikuwa namaanisha vijana wa Mpanda. Hata hivyo, biashara zake ni ndogo-ndogo tu, pia sidhani kama mtu akiwa anamiliki/kufanya biashara ndogo-ndogo kunaweza kumzuia kugombea uongozi ndani ya chama....
 
Sasa kafulila aliyemuona Mbatia hafai wakati ule mbona hajagombea? hawa watu wa Kigoma ni unafikina uharibifu tu, maana huu ndio ungekua wakati hasa wa Mh Kafulila kuonyesha kile alichokua anakitaka wakati ule chadema na baadae huko NCCR, sio kusubiri wakati mambo yanaenda shwari ndio kuleta hadithi za ajabu,
 
Zitto hajugombea huku

Nasikia yupo Nigeria, sijajua ni kuhusu kusaka yale mabilioni au ni katika kujiimarisha kisiasa! Kule unajua kuna akina TBJ na manabii kibao. Lakini pia kuna masangoma wakufa mtu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom