KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Mbatia amefanikiwa kutetea uenyekiti wake. Source star tv
kwani alikuwa na mpinzani kwenye hilo?rubber stamp
Mbatia amefanikiwa kutetea uenyekiti wake. Source star tv
Hiyo ndiyo demokrasia, Chadema nao wamruhusu Jembe Zitto
Sawa umesikika kachukue posho ukalale siku tukianzaa fyekana huku tunaulizia dini,kabila, kanda ndo utajua faida ya us!!!!::ge wa vitu mnavopandikiza
Mbatia amefanikiwa kutetea uenyekiti wake. Source star tv
Kwa nini David Kafulila hakugombea?
Sasa kafulila aliyemuona Mbatia hafai wakati ule mbona hajagombea? hawa watu wa Kigoma ni unafikina uharibifu tu, maana huu ndio ungekua wakati hasa wa Mh Kafulila kuonyesha kile alichokua anakitaka wakati ule chadema na baadae huko NCCR, sio kusubiri wakati mambo yanaenda shwari ndio kuleta hadithi za ajabu,