Kuna nini kati ya James Mbatia na Joseph Selasini?

Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh Joseph Selasini Mahakamani ktk Kesi aliyofungua Mh James Mbatia ya Kumdhalilisha.Katika Kesi hiyo Mh Joseph Selasini ametakiwa na Mahakama Kumlipa Mh James Mbatia Tsh Milioni 80
Je TAARIFA HIZI ni za KWELI?
Ni kweli, Selasini anatumika na CCM
 
Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh Joseph Selasini Mahakamani ktk Kesi aliyofungua Mh James Mbatia ya Kumdhalilisha.Katika Kesi hiyo Mh Joseph Selasini ametakiwa na Mahakama Kumlipa Mh James Mbatia Tsh Milioni 80
Je TAARIFA HIZI ni za KWELI?
ndiyo,
ni kweli kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa :spandauB:
 
Mbatia ni wa kwetu, ila alitaka kujitoa akili, tukamletea wa kwetu zaidi, hicho chama alipita Mabere Marando na Mrema, ambao pia ni wa kwetu
Anaipenda nchi yake. Kipindi alipofariki Mh Mengi (RIP), nilimsikia akisema kuwa kifo hicho kilikuwa ni hasara kwa Serikali; aliguswa sana na hakufurahi Nchi na Serikali kumpoteza mtu kama huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom