Mbatia azozana na Mdee, TAMWA

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
Mgombea ubunge wa jimbo la kawe kwa tiketi ya chama cha NCCR MAGEUZI,bwana james mbatia,ametishia kwenda mahakamani ili kukabiliana na kile alichokiita kudhalilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA,Halima mdee.Mbatia analalamika kuitwa mamluki wa CCM,na aliyepandikizwa kugawa kura za upinzani katika jimbo la kawe.Mbatia pia anamlalamikia mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA),Ananilea Nkya akidai alitoa maneno ya uzushi,uongo na udhalilishaji dhidi yake kwamba amekuwa akiwadhalilisha wanawake.(Tanzania Daima,26 October 2010,u.k 3)

My take
Naona sasa Mbatia maji shingoni,amebaki kulalamika tu, bila sababu za msingi,kwa kuwa ukichunguza vizuri utagundua maneno anayodai aliambiwa ni maneno ya kawaida ya siasa na hasa kambi ya upinzania,imekuwa ni jambo la kawaida kutuhumiana kwamba chama furani,au kiongozi furani ni mamluki wa CCM.
 
Mbatia ni mrembo tu hana kitu, anatangaza uzuri tu. Yule ni replacement ya Mrema na atazeeka kama Mrema anavyozeeka.
 
Naona amechakachua malalamiko. Kiukweli ni kuwa alikerwa na Mdee kusema kuwa Mbatia ni Shoga (habari ambazo zimekuwako mitaani kwa siku nyingi...)
 
jamani msiwe mnalitaja hilo jina la mbatia maana kila linapotamkwa najisikia kujenga hema kwa nguzo moja kwenye sarawili yangu (sijui kwa nini).
He is a gonner
 
Mgombea ubunge wa jimbo la kawe kwa tiketi ya chama cha NCCR MAGEUZI,bwana james mbatia,ametishia kwenda mahakamani ili kukabiliana na kile alichokiita kudhalilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA,Halima mdee.Mbatia analalamika kuitwa mamluki wa CCM,na aliyepandikizwa kugawa kura za upinzani katika jimbo la kawe.Mbatia pia anamlalamikia mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA),Ananilea Nkya akidai alitoa maneno ya uzushi,uongo na udhalilishaji dhidi yake kwamba amekuwa akiwadhalilisha wanawake.(Tanzania Daima,26 October 2010,u.k 3)

My take
Naona sasa Mbatia maji shingoni,amebaki kulalamika tu, bila sababu za msingi,kwa kuwa ukichunguza vizuri utagundua maneno anayodai aliambiwa ni maneno ya kawaida ya siasa na hasa kambi ya upinzania,imekuwa ni jambo la kawaida kutuhumiana kwamba chama furani,au kiongozi furani ni mamluki wa CCM.

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!

Mbatia umefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! umefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Pole Mbatia. Fanya tu kama Mama Fatma Magimbi. Utadhalilika lakini usijali. Rudi tu CCM.
Usiogope, japo sharti la kurudi CCM lazima utangazwe hadharani na Makamba au msanii JK.

Mwenzako Tambwe Hiza ashawahi kusema (akiwa CUF) kuwa bora kulala na mamake mzazi kuliko kurudi CCM. Leo yupo huko.

Rudi tu CCM ndugu yangu.
 
Mgombea ubunge wa jimbo la kawe kwa tiketi ya chama cha NCCR MAGEUZI,bwana james mbatia,ametishia kwenda mahakamani ili kukabiliana na kile alichokiita kudhalilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA,Halima mdee.Mbatia analalamika kuitwa mamluki wa CCM,na aliyepandikizwa kugawa kura za upinzani katika jimbo la kawe.Mbatia pia anamlalamikia mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA),Ananilea Nkya akidai alitoa maneno ya uzushi,uongo na udhalilishaji dhidi yake kwamba amekuwa akiwadhalilisha wanawake.(Tanzania Daima,26 October 2010,u.k 3)

My take
Naona sasa Mbatia maji shingoni,amebaki kulalamika tu, bila sababu za msingi,kwa kuwa ukichunguza vizuri utagundua maneno anayodai aliambiwa ni maneno ya kawaida ya siasa na hasa kambi ya upinzania,imekuwa ni jambo la kawaida kutuhumiana kwamba chama furani,au kiongozi furani ni mamluki wa CCM.

Jamaa amepoteza matumaini ya kushinda ubunge na sasa ameamua kuwasaidia ccm kupata ushindi. Kuna kikundi cha vijana fulani wahuni wanaomuunga mkono wamekuwa wakichana na kuharibu picha za Halima mdee karibu kila kona. Na kibaya zaidi amekuwa akijikita kumshambulia halima mdee na chadema na hajawahi kuthubutu kuishambulia ccm ndio sababu wananchi wengi wa jimbo la kawe, (sio chadema pekee) wanaamini kuwa mbatia ni kibaraka wa ccm. Siku hizi mtaani wanawaita NCCR MANUNUZI!!
 
Originally posted by DOUGLAS SALLU

Junya

Junya maana yake nini?au unamaanisha punga kwa lugha raisi?
 
Naona amechakachua malalamiko. Kiukweli ni kuwa alikerwa na Mdee kusema kuwa Mbatia ni Shoga (habari ambazo zimekuwako mitaani kwa siku nyingi...)

Jamani jamani!
Yamekuwa haya?
 
Huyu jamaa (Mbatia) naye kijana mdoooooogo, anataka kufulia kisiasa asubuuuuuhi,
Kwa nini asitulie na kujibu hoja za msingi??????

Hovyooooooooooooooooo!
 
Msanii taratibu kaka,
wajenga hema la nguzo moja ukisikia hilo jina!!!!!
Usije ukajenga hema mbele ya wakwee!!!!

jamani msiwe mnalitaja hilo jina la mbatia maana kila linapotamkwa najisikia kujenga hema kwa nguzo moja kwenye sarawili yangu (sijui kwa nini).
He is a gonner
 
Ni aibu kulitaja jina lake kwenye forum makini kama hii,hajawahi kuibua issue yoyote controversial against CCM,sana sana amekuwa akiitetea,si ndio huyu huyu mbatia aliyewahi kusema mkapa aachwe apumzike...eti halima mdee anaonekana mkakamavu kuliko huyu anayeitwa mwanaume...mimi naamini ni kibaraka wa ccm.NCCR-MANUNUZI ni tawi la ccm upinzani:sad:
 
Hahahahaaaa Mbatia ndugu yangu kama wewe sio member wa Forum hii makini usijaribu kusoma hizi post maana duuuuh, watanganyika wansema wewe PUNGA mara SHOGA au ndio maana jana kwa TV ulikuwa kidole juu na kubana pua kwa sana, Na hao mabasha wako CCM wameshaziba tundu ya mshobobo wamefulia mbayaaaaaaaaaa mwaka huu tafuta basha mwingine kaka, siasa wewe huiwezi ila taarabu tu.:tape:
 
bhhofivoih df dsivhvn.vklcac iojj chiv iohjkn ufuhjic iefijicve kcvn Sjs;rhgiowhv kdnvvnsijdjiwe msdidnvk :A S angry:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom