Mbasha naanza kuamini kuwa Flora hakuwa na tatizo, wewe ndio ulikuwa Mvurugaji

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
437
1,532
Huyu kaka inaonekana Flola alikuwa akimcontrol pakubwa sana, kipindi yupo na flora alikuwa anavutia sana kitabia lakini sasa kaka anatukana hadharani na kutoa mada za ajabu ajabu mitandaoni
 
Yaani angekuwa hajaokoka sijui ingelikuwaje!!!! Kweli walokole mmeingiliwa na jeshi jingine jipya. Hivi we mbasha, unataka kutuambia kuwa ukiokoka huwa unanyang;anywa sehemu ya mwili wako?? Pili, huyo shoga alikuona wapi hata akutamani na pia umpe namba zako??
Nadhani kuna mahali lipo tatizo
 
Mwenzake Flora katulia tuli na DUDU LA YUYU Kusekwa ila Mbasha Emmanuel kutwa kutukana watu mitandaoni sasa sijui ni stress za kuachwa/Kuchapiwa? Juzi aliwavaa Samsasali na mwenzake na kuwatukana matusi ya hatari sana sasa sijui ni kiki ya promo ya wimbo wake alioutoa?
 
nakusapot mkuu.
kama unahofu ya mungu huwezi kuandika haya maneno. eti kama [blue]hajaokoka
 
Unakataa easy money???? Kweli? Na hapo hapo unawaambia watu wabonyeze link ili upate pesa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…