Mbappe kanitekea demu wangu

Ni sawa ukaoa mzungu ukaishi naye bongo hizi black pusssies zitakuwa zinajileta zenyewe automatically. Umeongea ukweli. Nishawahi Kodi demu fulani lengo lilikuwa Ni kumteka mwingine.nilimpatia mkanda mzima. Akawa Kama gf wangu muda wote mahaba yule akaingia king
 
Kwakweli apigwe sanctions tu hakuna jinsi.
Huwa ninampenda Messi ila sio kila saaa nimsifie mbele ya man wangu au hadi iwe kero.
Au kuna mkaka wa France mweusii ameivaa hatari kweli nimemtaman ila sio hadi uoneshe live umkere mwenzako.
Apigwe sanctions tu.
Nina ex boy wangu flan ilikuwa kila akimuona christinah shusho kwenye video zake anamsifia eti anampenda sana na ni mzuri... basi nilikuwa naumia sana
 
Kwa kweli yule kijana ni everywoman dream kwa kweli he is hotπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…