Bunbun
Senior Member
- Dec 17, 2022
- 174
- 207
Sie tuna kijana wa kufanya hayo makazi yote baba alinambia nisiguse Kaz yyteBasi tukienda kuchota maji kusenya kuni ama kuchunga itakuwa mahala pazuri nadhani.
Sie tuna kijana wa kufanya hayo makazi yote baba alinambia nisiguse Kaz yyteBasi tukienda kuchota maji kusenya kuni ama kuchunga itakuwa mahala pazuri nadhani.
Haaaaa , nyie wadada mnaoishi nyumban, sometimes tuwasemehee tuu 🤣🤣 hamnaga uhuruMama aliondoka na funguo ya chumbani kwangu
Kweli kabisaHaaaaa , nyie wadada mnaoishi nyumban, sometimes tuwasemehee tuu 🤣🤣 hamnaga uhuru
Hahahaha ndioo ,Et mitoko mpaka ruhusa, sio tu ruhusa kurudi saa mbili usiku mwisho.🤣🤣Kweli kabisa
Mim kwetu kurudi sa kumi jion mwisho. Nkizidisha nalala polisiHahahaha ndioo ,Et mitoko mpaka ruhusa, sio tu ruhusa kurudi saa mbili usiku mwisho.🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Hahah wee hufai bado mtoto wa mamaMim kwetu kurudi sa kumi mwisho.
😂😂😂Usilolijua ni sawa na usiku wa sa tisa😂😂🤣🤣🤣🤣 Hahah wee hufai bado mtoto wa mama
Hakikaaaa namie nmeyaasema hayo nikiwa silijui ila Kwa muktadha huohuo, mdada anayekaa kwao ,daahhh hayupo huru kabisa 🤣🤣😂😂😂Usilolijua ni sawa na usiku wa sa tisa😂😂
Nacheza tu na beat
Naenda mada inavyotaka,nimejizima data.


hata me naonaNyie Mungu fundi jamaniii
Itabidi apangwe kuwa labda anaenda kulala kwa rafikiye wanajisomea. Wakati Niko Moscow nilikutana na mabinti wadogo club nikamuuliza mmoja kuwa hapa ulipo mzazi wako anajua kuwa upo hapa akakataa akaniambia kuwa aliwaambia kuwa anaenda kwa rafiki yake sijui kusoma sijui party. Hata Ile kulana mate hadharani hawafanyi mbele ya wazazi wao.Kumtoa out usiku au kulala nje, mpaka ajielezeee sana utadhan anafanya usahili wa Kazi
Namie nipigie debe ili nije hapo home kufanya kazi izo hiyo. Hapo hapo home kwenu jamaniSie tuna kijana wa kufanya hayo makazi yote baba alinambia nisiguse Kaz yyte
Si shida mkuu usiwaze jamaa yupo mbali sana , potezeaHabari wakuu
Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.
Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Habari za Siku mingi
MweeeeNyie Mungu fundi jamaniii
Mungu anaumba,Mungu anayakata kata maungo..mbosso khanNyie Mungu fundi jamaniii
Na wewe Anza kumpost yule Miss Croatia ila unahide wengine anaview yeye tu maana kwa mwanaume kufanya hivi ni umama. Post hata Mara nne kwa siku muda mwingine hata mko naye unaibusu picha ya huyo bibie. Atalalamika na wewe utamwambia na wewe ulivyokuwa unafanya. Then mtayaongea yataisha.
UmeuaAcha uhuniView attachment 2452445
Anavutia kweli ,wana michezo ,waigizaji wa Hollywood,Wacheza basket huwa wanavutia kutokana na miili yao ilivyo

Sasa wengine jaman wafupi,vitambiiiiiiiii uwiiAcha uhuni![]()