Mbappe kanitekea demu wangu

Ewaaa
 
Huna haja ya kuchukia ukwel ni kwamba hawez kumpata😂😂ataishia kumwona kwa TV
 
Haina haja ya kupita njia zake sema nshamdharau na kama walivosema wadau dawa ni kuweka vikwazo vya kiuchumi tu

Mbappe ni tajiri atamtunza
Yawezekana yeye anafanya hivyo kujifurahisha huenda hajui kuwa wewe inakuumiza, ukifanya atafeel Kama unavyofeel wewe. Kama anakupenda lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…