Mbappe kanitekea demu wangu

Ona sasaa ulivyoooooooo 😅😅😅😅🙌
Hahahaha wee acha Moyo umwagiliwee, vile nakudondeshea matone ya Asali kwenye Ki-nena, Kwa kitovu, Kwa chuchu kishaaaaa ninyonye Asali hiyo Kwa ulimi wakeee then niutembeze all over your body


Hahaaaa naaaaa baadae usukumiziwe hogo la kisukuma.


Yann tuandikie mate??? 🤣
 
Hahahaha ndo Wanawake wetu hapa, kikubwa tuwapende, tuwajali, tuwapelekee motoooo 🤣🤣
Nilcheka Sana siwekagi status ila ikabd nieke niandike mwanamke wako ana akili au na yeyekapost mbappe


, Mwengne penalt ya kwanza ka record kapost ikabd nimuulize kwa hio ulikuwa woi kuchagua team mapema Hadi watu wafunge,, imefika kipindi Cha pili kabadili mwelekeo kahamia kwa mbappe😁
 
Mtego unaenda kunasa mtu muda si mrefu
 
Tuendelee kuwapenda na kuwaelekeza Kwa Upendo na huruma .

Kikubwa na Cha kuzingatia, Akikuletea, Piga sanaaa, peleka motoooo haswaaa.

Atakusevu ,My Mbappe
 
Ila nyie wanaume mnateswaga sana na maumivu ya mapenzi🤣🤣
Maumivu makali Mnoo ila tunazuga tu.
Tukiwa tunatoka akivaa vizuri akiuliza vipi nimependeza ehh! Jibu ni moja tu “kamuulize Mbappe”

Sijui naomba nisaidie kunifunga sidiria, jibu ni moja tu “muombe mbappe akusaidie”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…