Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Yani hapo kama ni mimi walai lazima nikuzidishie hasira😂😂maana nitakucheka mpka nje ya uzio

Maskini poleni Sikuwahi kujua
Hahaha niko na usumbufu mwingi utajirudi tu mwenyewe najua, sijui “babe nisaidie kushusha net kuna mbu. jibu ni moja tu, “muite Mbappe akusaidie kushusha net mimi siyo mchoyo kwa mbu wache wale damu leo”
 
Unaliwa na wanywa vi diamond (kitoko) utakuta wewe hata si hadhi yangu , na unataka ruka nchi
Bob Usiwe serious kimaneno , tuko tunapeana Fan kuelekea sikukuuu .

Hawa Wanawake nao wanajua sisi ndo Waume zao !!

Huyo Mbappe ni macho tuuu, Kwanza Yuko mbali !!

Mlaji ni Mimi Nawewe 🤣🤣🤣
 
Unaliwa na wanywa vi diamond (kitoko) utakuta wewe hata si hadhi yangu , na unataka ruka nchi
Mimi sio hadhi yako kama ambayo wewe sio levels zangu. Ipo hivyo na maisha yanasonga
 
Na mimi huwa sio msahaulifu nitakomaa na wewe mpaka ukubali yaishe.
Sijui “babe mbona leo umerudi usiku saa tisa na simu hupokei! jibu ni moja tu “nilikesha uwanjani kwa Mkapa nilikua najifunza chenga kama za Mbappe”
🤣🤣🤣🤣 Hiiii inaitwa Adui mwombee njaaa, atanyoosha mikono tuu
 
😂😂Poleni jamani tupooo pamojaaa...Ila kwaa ishuu ya Mbappe tumeshindwaa kujizuiaaa...na sisi tunapendaa vitu vizuriiiii..
Yaani bless mom so unanisaliti kisa Cha mbape kweli. Haya mmeo bandika picha za mbape chumbani ukutani ama screen saver Kama hujapata talaka Mia kidogo
 
Back
Top Bottom