Mbappe kanitekea demu wangu

Sijui ndio huyohuyo au vipi ,maana mimi kuna manzi nina namba yake tokea jana hadi leo status za makopa kwa Mbappe na kumbe za mahaba mpk Dp kaweka ya Mbappe mpaka nahisi amekuwa kichaa tayari.
Dah mwana inaezekana, jina lake linaanza na M?
 
Hamtutaki sisi Wapole [emoji854]
 
😂😂Poleni jamani tupooo pamojaaa...Ila kwaa ishuu ya Mbappe tumeshindwaa kujizuiaaa...na sisi tunapendaa vitu vizuriiiii..
Nikweli mwapenda vizuri ,ila mvipende kimoyomoyo ,Sasa nyie Leo mnatufanyia unyanyasaji wa kijisinsia ulochanganyana na kisaikolojia khaaaa.

Sasa kama na kibamia nifanyeje ? Sio haki🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani babee mbape amtunze tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…