Mbalamwezi na nadharia zake

Zile ni hadithi tuu mara nyingi zilitumika wakati wa jioni tunasubiria chakula ili tusisinzie
Kuna maana kubwa sana kwenye mwezi mkubwa, ila sisi tunachukulia kama ni hadithi za wahenga
 
Haiwezekani, huyo alikuwa mtoto wa zinaa
Huo ni upotoshaji. Mtoto wa zinaa vipi wakati Hajri alikuwa mkewe Ibrahim? Acheni kupotosha maandiko!
Halafu ninyi naona hamjawashitukia wachungaji. Wanawaambia hivyo ili kujenga chuki na uislam. Ismail ndiye aliyezaa uislam kwa hiyo usitarajie waeleze mazuri ya ismail.
Kisha washitukieni wachungaji maana kama mtoto wa zinaa basi atakuwa ni ISAKA maana Ibrahim alimwoa Sara ambaye ni DADA YAKE!
Ukizaa na dada yako unakuwa umezini!
 
Kwani biblia na quran ipi ya kwanza kuwepo tuanzie hapo
Kutangulia kitabu issue ni nini? Kitabu kinachotangulia kinakuwa ni edition ya zamani kinachofuata kinakuwa ni new edition kinarekebisha kilichopita yaani new edition.
 
Haiwezekani, huyo alikuwa mtoto wa zinaa
Someni biblia vizuri. Mtoto aliyetakiwa kuchinjwa ni wa kutoka KIUONI mwa Ibrahim. Ukisoma biblia vizuri utakuta mtoto aliyetoko kiunoni mwa Ibrahim ni ISMAIL na mtoto wa AHADI ni ISAKA.
Someni biblia acheni kusikiliza upotoshaji na pia acheni chuki.
 
Haiwezekani, huyo alikuwa mtoto wa zinaa
Hilo jina la ISAKA kwenye biblia kuhusu aliyetakiwa kuchinjwa lilichomekwa badala ya kuwekwa jiba sahihi la aliyetakiwa kuchinjwa ambaye ni ISMAIL.
 
Mwezi wetu hauna maji yale ni mabonde yasiyofikiwa na mwanga wa kuakisiwa kwa jua hubaki na giza kwa umbali uliopo ndio maana tunaona kama maumbo ya weus
Lakini uhalisia ile ni vivuli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…