Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Naomba contacts details za Jussa (kwa mtu alie nazo) ili nimwambie njia rahisi ya kuipata zanzibar yake huru please!
Kama Chadema wanavyomchukia Jussa kuanzia mitaani, bungeni, mpaka JF.
Mkuu asante kwa rekebisho hilo, ila hawezi tunyima usingizi labda pale tutakapoanza kudai Pemba yetu maana hakuana andiko lolote linaloonyesha ni lini tuliungana na Unguja.
Fuatilia vizuri, Salma ameshare tu. nadhani wewe Ndiye ukurupukae..lazima utakuwa Mpemba Abaa
Kama Chadema wanavyomchukia Jussa kuanzia mitaani, bungeni, mpaka JF.
Mkuu asante kwa rekebisho hilo, ila hawezi tunyima usingizi labda pale tutakapoanza kudai Pemba yetu maana hakuana andiko lolote linaloonyesha ni lini tuliungana na Unguja.
Maneno ya Jussa yako juu ya mstari wala hajakosea.Kama mtu kutetea utu wake na nchi yake ni ubaguzi basi wabaguzi tupo wengi. Tunajua fika Seif Ali Iddi ni Balozi wa Tanganyika nchini Zanzibar na Sheni na wenzake ni Vibaraka. Wazanzibar hatutoki kwenye mstari, tutasimama pale pale ''Jamuhuri Ya Watu Wa Zanzibar Kwanza''
Ubaguzi au sio, HATUNA HAJA NA ZANZIBAR. Ni kama mwanamke kujihisi ni muhimu na anatakwa lakini ni hisia zake tu. Ninyi mnatakwa na CCM na sio Watanganyika. PERIOD.
Jussa, Ritz na wengine hebu toeni sababu kuu tatu (3) za ni kwanini mnadhani Tanganyika inaihitaji Z'bar. Nami nitakupa sababu kuu ni kwanini sisi Watanganyika hatuihitaji kabisa Z'bar.
Stop the murmurings. Do something and get your parasite state, you so deludedly want.
Pasipo muungano hakuna zanzibar bali kutakuwa na unguja na pemba. Kila la kheri
Kama Chadema wanavyomchukia Jussa kuanzia mitaani, bungeni, mpaka JF.
Mkuu sababu ya kwanza ni Bahari secondly ni Mafuta na gesi hata kama kwenu yapo lakini bado waroho na tatu waambieni TRA wenu warudi kwenu sijui wanafanya nini kwetu najua utakuja na concept ya na wapemba wapo Danganyika lakini wao hata kama wapo hawauwi wala kuuza vinyago wanawaingizieni profit kubwa tuu na me nikuulize swali moja tuu Kwanini Wazanzibar ndio wanaotaka kutoka tuu kwenye hili dude la muungano lakini husikii kwa wadanganyaka hata mara moja kama kweli mumechoka na sisi na hamtutaki mukasema tutanaka kutoka na sisi.Ubaguzi au sio, HATUNA HAJA NA ZANZIBAR. Ni kama mwanamke kujihisi ni muhimu na anatakwa lakini ni hisia zake tu. Ninyi mnatakwa na CCM na sio Watanganyika. PERIOD.
Jussa, Ritz na wengine hebu toeni sababu kuu tatu (3) za ni kwanini mnadhani Tanganyika inaihitaji Z'bar. Nami nitakupa sababu kuu ni kwanini sisi Watanganyika hatuihitaji kabisa Z'bar.
Stop the murmurings. Do something and get your parasite state, you so deludedly want.
Ismail jussa Ladhu amejipambanua kuwa ni mbaguzi mkubwa kwa kauli zake zenye misingi ya ubaguzi hasa wa kidini,binafsi siupendi muungano lakini kwa matamshi ya jussa nawahurumia wazanzibari wenye mtazamo tofauti na kina jussa especially wakristo.
Kwa mitizamo hii ya akina jussa hata ikitokea Zanzibar ikajitawala kwa kila kitu kamwe haitakuwa salama na msipoangalia mtakuwa zaidi ya Somalia
Mkuu sababu ya kwanza ni Bahari secondly ni Mafuta na gesi hata kama kwenu yapo lakini bado waroho na tatu waambieni TRA wenu warudi kwenu sijui wanafanya nini kwetu najua utakuja na concept ya na wapemba wapo Danganyika lakini wao hata kama wapo hawauwi wala kuuza vinyago wanawaingizieni profit kubwa tuu na me nikuulize swali moja tuu Kwanini Wazanzibar ndio wanaotaka kutoka tuu kwenye hili dude la muungano lakini husikii kwa wadanganyaka hata mara moja kama kweli mumechoka na sisi na hamtutaki mukasema tutanaka kutoka na sisi.
Namuunga mkono Ronald Reagan 100%.
Hivi watanganyika tujiulize, tuna manufaa gani na Zanzibar? Afadhali hata Kenya na Uganda kuna volume kubwa ya biashara na interaction kati yetu hivyo kunufaika ki-uchumi? Zanzibar hawaishi ulalamishi na chokochoko such that they distract us from focusing on more important issues for Tanganyika. Imefika wakati tuwaache waende zao; they are like a boil on the neck..! what would we (40+ million people) have to lose from 1 million people? What economic, social or political benefits does Tanganyika get from Zbar?
Angalia linazuka kundi la UAMSHO, wanaleta fujo, etc na Tanganyika inakuwa-drawn into it, kisa Muungano; to hell with Muungano. Kama Zanzibar wanaamini they are better off outside the union, let them go, it will be a very big relief for us. But i believe that once Tanganyika leaves the Zbar scene; Unguja vs Pemba hostilities, Islamic fundamentalism (fuelled from outside) will move in and another Somalia will be born. Because the current move to cede Zbar from the Union is not propelled by politics but by islamic fundamentalism. This explains why UAMSHO a religious registered entity is on the forefront.
Mara Uamsho
Kwelitupu Lazima kumuunga mkono kwasababu ni nyie nyie hayo ya unayoyasema ww unataka politicians waseme nini na wao wanayojali marupu rupu yao halafu mtu akishachoka ndo inakua kila mtu lazima asimame na kutetea haki hii si kitu ya mtu moja moja ni ya watu wote halafu kuhusu wapemba na waunguja tuachieni sisi wenyewe nyinyi tukishatoka kwenye dubwana hili angalie tuu kama tutagombana ama tutauwana or we will have better life,it is up to us to decide not you guys tusaidie kutoka kwenye dubwana hili kama kweli huutaki muungano sio maneno tuu na kuongea