Jusa anafany kinachotushinda wengi..... yeye sio mnafiki, ana uwezo na uthubutu
mimi sipendi zanzibar iwe kwenye muungano, napenda zainzibar kama leisure destination tu
mfumo uliopo unawafanya wawe wavivu, wanatucost tu na hawana chochote cha ziada ambacho ni lazima tuwe nao kwenye muungano. wakiwa huru wataenda mbaili zaidi, watatuheshimu zaidi, watatupenda zaidi na mimi ntapenda zaidi kwenda zanzibar kutembea
SIUPENDI MUUNGANO KWA MOYO WANGU WOTE, LAKINI NAWAPENDA WAZANZIBARI NA UTU WAO.... MUUNGANO UNAWAMALIZA, UNAWANYIMA NAFASI, NA PIA UNATUNYAMAZISHA NA KUTUNYIMA MAFASI KAMA TANZANIA BARA KUFANYA MAMBO YETU..... MUUNGANO UMEKUA NDOA YA MITALA
WAUVUNJE TU, TUENDE ZANZIBAR KWA PASSPORT, LABA HESHIMA ITARUDI
Nakubaliana wewe, muungano huu ni gharama kwetu wa bara, Wanzibari ni ndugu zetu lakini Muungano huu ni laana kwetu