Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,830
Uzi ufungwe.Umasikini na uchafu vinaenda pamoja.
Uzi ufungwe.Umasikini na uchafu vinaenda pamoja.
Nyimbo maigizo kama mengine tu🥱Sijawai kufukika huko ila nikiona video ya ule wimbo wa diamond wa mbagaha... .. hapa nyumba mbele jalala kweli nacomfirm ni pachafu Sana!!
Wanatafuta kushitakiwa na wanambagala😄Uzi ufungwe.
Hayo yanaingiaje humu,bila shaka inawezakuwa athari za kukaa majalala ya Mbagala🤨Wakristo ni wachafu sana...na ni masikini sana.
Oneni mbagala
Ongezea buguruniNdio CCM wanapataga kura nyingi sana kama Tandale tu
Mbagala ni Vatican ya Tanzania?Wakristo ni wachafu sana...na ni masikini sana.
Oneni mbagala