Asante sana kwa kunipa mwanga kidogo.. Bado sijaziamini sana LG, what's so special with the brand?Mimi nilikuwa na Samsung Note ikanizingua, ili crash halafu nikairudisha kwa matengenezo,ika crash upya.
Wakataka kunipa toleo jipya zaidi, mpya zikawa zinatoka hazina removable batteries au microsd card slots.
Bila hivyo vitu viwili simu siitaki hata kama imewekewa mavumba ya dhahabu.
Nikahamia LG ilipotoka LG G5.
Mpaka leo napeta nayo.
Samsung Galaxy S8 price, specifications, features, comparisonAsante sana mkuu Jose,
Hiyo S8 ikoje na ina sifa zipi? Nadhani ungenisaidia kufafanua zaidi kuliko kuniuliza tena swali.
Ikibidi weka na bei zake ili 'nipime'..
Yeah amenikumbusha na NOTE 4 pia.. Laki 450 mpaka laki sita wapata mpyaAsante sana mkuu. Latest hapo ni ipi na uwezo wake ukoje? Bei je? Nitashukuru ukiniweka sawa zaidi boss.
Beth, nimetumia Note zote kasoro Note 6 ambayo haikutoka na 7 ambayo ilileta shida...Mambo zenu wakuu?
Nilikuwa natumia Samsung Note Edge imeniharibikia na nilipoenda kutafuta nyingine kwa lengo la kununua mpya nimeambiwa batch hii haikutoka tena hivyo ni out of stock.
Kiukweli niliizoea sana na sijui ipi ni mbadala wake.
Naombeni ushauri nihamie kwenye Samsung ipi? Binafsi ni mtumiaji sana wa simu kikazi na matumizi mengine ya kawaida hivyo nitashukuru nikipata ushauri mzuri ili nisije jutia.
Nipo hapa kupokea mapendekezo..
Note series ndo simu bora kabisa kwa watu tunaotumia simu kama ofisiBeth, nimetumia Note zote kasoro Note 6 ambayo haikutoka na 7 ambayo ilileta shida...
Achana S8 ni nzuri ila kama wewe ni mtu wa Note, s8 plus ni nzuri sana ila achana nayo...
Subiri mwezi wa kumi....unatoka mzigo mwingine hatari sana..Samsung Note 8...ikiwa na kalamu na iris scanner...hii itakua habari nyingine...andaa million 2 zako ufurahi...
Latest ni note 5,japo na note 4 ni nzuri pia,Asante sana mkuu. Latest hapo ni ipi na uwezo wake ukoje? Bei je? Nitashukuru ukiniweka sawa zaidi boss.
S8 nimeona inapigiwa shangwe sana.. Ni toleo jipya bila shaka. Note Edge niliitumia nikaipenda sana ila hapo awali sikuwa mpenzi wa Note series kwa sababu ya vile vikalamu vyake na ubovu wa batteries zake..Beth, nimetumia Note zote kasoro Note 6 ambayo haikutoka na 7 ambayo ilileta shida...
Achana S8 ni nzuri ila kama wewe ni mtu wa Note, s8 plus ni nzuri sana ila achana nayo...
Subiri mwezi wa kumi....unatoka mzigo mwingine hatari sana..Samsung Note 8...ikiwa na kalamu na iris scanner...hii itakua habari nyingine...andaa million 2 zako ufurahi...
Ndiyo ni Latest Technology Evolution (LTE)Mkuu inaonyesha hizo ziko poa sana japo sijaelewa uzuri wake ni upi haswa.. Ni LTE?
Kuna hizi J Series nazo vipi?
I don't look so much at brands as features and reviews.At a certain level of course.Asante sana kwa kunipa mwanga kidogo.. Bado sijaziamini sana LG, what's so special with the brand?
kama umetoka note 4 j series yoyote una downgrade achana nazo,Mkuu inaonyesha hizo ziko poa sana japo sijaelewa uzuri wake ni upi haswa.. Ni LTE?
Kuna hizi J Series nazo vipi?
kama umetoka note 4 j series yoyote una downgrade achana nazo,
path ya note 4 edge kwenye ku upgrade kuna
-samsung galaxy s6 edge plus
-samsung galaxy s7 edge plus
-samsung galaxy s8 plus
zote zina edge hizo sema ni pande zote mbili compare na upande mmoja wa note edge,
ila uangalie pia na utunzaji wako simu zote hapo juu zina glass mbele na nyuma zinahitaji utunzaji mzuri ila pia zina warranty ukiharibu bahati mbaya watatengeneza bure.
yap huo huoAsante sana. Hakika umenifumbua macho. Kwa ushauri huu wa kitalaamu now naamini naelekea kupata mbadala niliokuwa nautaka. Just out of curiosity Chief, kinachofanya Samsung iwe 'edge' ni ule mdondoko wa screen?!