MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 574
- 1,364
Mil 27-35Bei zake zikoje?
Gari wanaendesha wajane na single Maza hizoToyota Spacio
Gari za form one (wanaonza kumiliki gari)Toyota Spacio
Wajane wengi na single Maza ndio gari zao hizoGari za form one (wanaonza kumiliki gari)
Gari za form one (wanaonza kumiliki gari)
Spacio saivi bila mil 18+ hupatiSawa. Hata dereva mwenyewe mie ni form one
Spacio saivi bila mil 18+ hupati
Efeso 5:3-4Hata porno bila 18+ hupati
Mbadala wake ni Rav 4 ya 2020 ile.Mazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same .
Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk
Kwangu Mimi hizi ni gari mbadala ambazo zinafanana bei na matunzo ya Mazda na forester
1. AUDI Q5
2.Volkswagen Tiguan
Tatizo different ya beiMbadala wake ni Rav 4 ya 2020 ile.
Au wachukue za petrol so wanadunda tu freshCX-5 tamu sana kuanzia performance, design and fuel economy. Masharti tunayaishi tuu kwasababu hakuna gari isiyo na masharti. Kama ni "DPF" ondoa na u delete kama wewe ni mtu wa short trips mwaka mzima na "coolant by-pass" fanya kama wewe ni mtu wa long trips. Mchezo umeisha. Haigharimu zaidi ya 500k kuifanyia modification. Nashangaa watu wanaogopa ku drive gari wanayoipenda kisa 500k
JetourMazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same .
Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk
Kwangu Mimi hizi ni gari mbadala ambazo zinafanana bei na matunzo ya Mazda na forester
1. AUDI Q5
2.Volkswagen Tiguan