Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

Mbabe Bob chura mbavu nene
Ila kuna Tukio moja la kwenda wanamia kuwahamisha wa kazi miaka fulani ilikuwa Bunju kama skosei jamaa anayedai mwenye eneo na kampuni ya udalali waliwakusanya wababe na mabaunsa wakaenda hko ila walichokutana nacho hko walupigwa wengine walipoteza maisha
Chura ponapona yake walimgonga vunjavunja tangu siku hyo akawa dhaifu.....
Ukikutana naye anakwambia mjombaa ubabe usimfanyie raiaa
Raiaa hafai

Ova
 
Mbabe toka manzese hyo ila aliyakanyaga kwa wachina
Alafu kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa wandiba
Kulikuwa na mbabe mmja anaitwa juma ndedere
Kulikuwa na mbabe mmoja alikuwepo pia enzi hzo anaitwa stiba Dah Umenikumbusha longtime watu Hawa

Ova
Wandiba alitesa sana mitaa ya Upanga tulivyokuwa wadogo.
 
Ayubu mpuz tu miguvu yote ile Unga umemmaliza ila naye aliyakanyaga kwa mshikaji mmja anaitwa Razak alichezea
Ila ukoo wao wote Wana miguvu wale
Nature
Mzee wao alikuwa anaisimamia msikiti wa sinza pale mahali fulani kna siku ilitokea ngumi ikabidi mzee amuite damme ayubu kuwapa tag ilikuwa shida
Unga tu umemaliza jamaa

Ova

Mwenyekiti! You are versatile! Hats off to you.
Ova.
 
Wandiba alitesa sana mitaa ya Upanga tulivyokuwa wadogo.
Unamkumbka kamsopi alikuwa ndy mtukutu wa upanga
Alikuwa anakaa zile flates zinazoangaliana na puma/Manji

Ova
 
Mangombe kbaji ila dah kuna siku nlimuonaaa yuko kwenye ndingaaa akanisalimiaaaa kwa makelele mwanangu ntafuteeeee ahhh nkasema hyu si alikuwa jela
Alikuwa anapatikana sinza mori
Ila yule mwizi kitambooo

Ova
Mkuuu mbona unaonekana unawajua hao wote..hebu jitaje tu kwa faida ya wengi wewe ni MBABE NANI?? ulikua maarufu kwa jina gani??
 
vijana wa siku hizi(millennials), wanashinda gym kufanya mazoezi ili wawe na vifua vipana vya kuvutia wasichana kimapenzi.

enzi zetu vifua vipana vilikuwa vinaendana na utemi, ubabe sambamba na kuwa mtu wa msimamo thabiti.
Kila nyakati na kitabu chake.
 
Mbabe Bob chura mbavu nene
Ila kuna Tukio moja la kwenda wanamia kuwahamisha wa kazi miaka fulani ilikuwa Bunju kama skosei jamaa anayedai mwenye eneo na kampuni ya udalali waliwakusanya wababe na mabaunsa wakaenda hko ila walichokutana nacho hko walupigwa wengine walipoteza maisha
Chura ponapona yake walimgonga vunjavunja tangu siku hyo akawa dhaifu.....
Ukikutana naye anakwambia mjombaa ubabe usimfanyie raiaa
Raiaa hafai

Ova
Ilikuwa ni mitaa ya Mabwepande Mkuu.
 
Abajalo vs Sinza star...
Friends ranger vs kagera ranger.
Messina vs Swazi inter
Bomu vs Ashanti
Beach boy vs friend ranger..
Abajalo vs sheki utd.
Sifa vs Faru dume.

Zikipigwa hizo game lazima mitaa ifungwe, na hapo ndipo utaona watu walivyopinda..
 
Miaka hiyo tunakula nauli tunamsubiri Mzee Ongala atupe lift kwenye 109 yake nyuma imeandikwa "baba yako analo??"
 
Ayubu mpuz tu miguvu yote ile Unga umemmaliza ila naye aliyakanyaga kwa mshikaji mmja anaitwa Razak alichezea
Ila ukoo wao wote Wana miguvu wale
Nature
Mzee wao alikuwa anaisimamia msikiti wa sinza pale mahali fulani kna siku ilitokea ngumi ikabidi mzee amuite damme ayubu kuwapa tag ilikuwa shida
Unga tu umemaliza jamaa

Ova
Damme mbabe sana na ule mwili alikuwa akitaka kitu unatoa mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom