Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Nani huyo Mkuu
Aliishia kuwa jambazi la kutisha
Aliishia kuwa jambazi la kutisha
Alikuwa mkabaji tu badaye alitaka kupanda rank ndy akayakwaaAliishia kuwa jambazi la kutisha
Alikuwa mkabaji tu badaye alitaka kupanda rank ndy akayakwaa
Ova
Nani huyuAliishia kuwa jambazi la kutisha
Siza
Ova
Bdy alibadiilikaOooh, Mjomba siza ,nimesikitika kuniambia aliuwawa
Were jamaa siasa za ukawa ndiyo zinakuletea shida tuMdogo wa mangombe alikuwa anaitwa mwambuzi![]()
![]()
![]()
Ova
Watu wa dizaini hiyo huwa wanapotea na kuishia kifo na ndio kisa hajasikikaKwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye mabasi makonda wakimuogopa kwelikweli. Ni zaidi ya miaka 25 sijamsikia tena
Kivp mkuu!Were jamaa siasa za ukawa ndiyo zinakuletea shida tu
Hahahahaahahaa usinikumbishe mechi ya friends ranger uwanja mwananyamala B ngoma zilipigwa nikakimbia peku viatu soksi na t-shirt sikujua nilivivulia wapi mpaka nilipofika kwa alimauaAbajalo vs Sinza star...
Friends ranger vs kagera ranger.
Messina vs Swazi inter
Bomu vs Ashanti
Beach boy vs friend ranger..
Abajalo vs sheki utd.
Sifa vs Faru dume.
Zikipigwa hizo game lazima mitaa ifungwe, na hapo ndipo utaona watu walivyopinda..
Siku hizi Vijana WANAMTIA MAKOFI tu..hakuna ufalme Wa mileleAkina Dame
Mechi hzo refa kiuononi anachezesha yuko na Sime au beto....refa lazima awe mbabe nayeHahahahaahahaa usinikumbishe mechi ya friends ranger uwanja mwananyamala B ngoma zilipigwa nikakimbia peku viatu soksi na t-shirt sikujua nilivivulia wapi mpaka nilipofika kwa alimaua
Kamsopi mchumba tu.Unamkumbka kamsopi alikuwa ndy mtukutu wa upanga![]()
![]()
Alikuwa anakaa zile flates zinazoangaliana na puma/Manji
Ova
Kamsopi mchumba tu.
Nimemgungia safari Forodhani, nikaoneshwa Kamsopi ndiyo huyu, akanikimbia.
Hapo nimeenda kutafuta ugomvi kumjua huyu Kamsopi ni nani, nimekuja na timu yangu kutoka Tambaza all the way to Forodhani!
Uliwahi kukutana na Mkama sharp mkuu?
Paul Siza alifariki kwenye tukio la ujambaziAh wa babe wakina Paul siza
Hyo kdg niyakanyage naye hapo langata enzi hzo maana wengine tulikuwa tnaonekana mabaharia![]()
![]()
![]()
Siza aanatamani cheni nkaona ohooo
Sema aliishiaa kuwa mkabaji
Badaye akaingia kwenye ujambazi akayanyaga sehemu raia waakammaliza
Siza alikuwa bondia mzuri heavyweight
Alikuwa anakosa mapambano
Ova
Na nyumba yao ishauzwaChura Alisha Rest in peace
Umenikumbusha Felix Ongaramainchamber derby lingine ilikuwa la msebenze vs ajaxpressure (mapusha)
Ngoma ikipigwa si la kitoto
Mechi moja wa shabiki walirusha sana vinyesi uwanjani
Ova