Wiyelelee
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 1,071
- 347
Nimesoma hapa kwenye thread ambapo NAPE anatamba kwamba ana MPA ya Mzumbe. Huwa nacheka sana nikiona mtu anaetamba kwamba ana MBA au MPA ya Mzumbe. Nacho ni cheti cha kujivunia? Nilianza masters yangu pamoja na mtu wa MBA Mzumbe. Ndani ya miezi 6 yeye akasema amemaliza!
Kwa kifupi, tulianza October, 2009. Yeye May 2010 alisema wamemaliza course work na anafanya research. November aka graduate wakati mimi nikawa nimeingia second year ya Masters yangu. Nilimaliza couse work in 2011 May-June na nikafanya utafiti wangu na ku graduate Nov 2011.
Sasa mtu akitamba mbele yangu kwamba ana MBA ya Mzumbe nacheka sana maana ndo elimu ya NAPE! Usicheze na Masters. najua wengi waliosoma Mzumbe wamekasirika lakini ukweli ndo huo.