MB au data zinatengenezwa wapi?

MB au data zinatengenezwa wapi?

Habari wanaforums, naomba kijuzwa Data au Mb zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
Luku inatengenezwa wapi? Unaweza kutengeneza luku kimagendo. Data plan ni kama key inayowezesha we kuendelea kutumai internet. MB ni kipimo cha kiasi cha matumizi ya internet ulichopewa. Yani kifurushi ni sawa na kadi ya atm hivyo utaendelea kuwithdraw pesa mpaka kiasi chako kilichowekwa kwa hiyo atm kitakapoisha.
 
Je zile Mb au dakika zinazobakia baada ya muda wa bundle kuisha huenda wapi?
 
Je zile Mb au dakika zinazobakia baada ya muda wa bundle kuisha huenda wapi?
Si zinaexpire MB ni kipimo Yani ni sawa ni kwambie umelipia kucheza kwa saa 5 katika uwanja wangu wa michezo. Wewe ukacheza kwa saa 3 halafu ukapumzika. Yakitimia masaa matano nikakwambia muda wako umeisha. Ila kumbuka umecheza masaa 3, yale mawili utasema aymeenda wapi?
 
Nadhani, MB ni kikomo cha ww kutumia intanet.

Mfano unaambiwa ufike ofisini saa 3 asubuhi hiyo ni kikomo cha saa kufika kazini ila haina maana kuwa mwisho wa saa ya kufika kazini ni saa 3 mana muda bado unaendelea.

Intanet ni ujumla wa hizo KB, MB, GB, TB kwahy unapewa au unamegewa kipande/kifurushi cha intanet kulingana na pesa yako.
Sasa kwa kulingana na pesa yako ndio kuna vipande/kifurushi vya intanet ndio vikapewa majina kama KB, MB, GB TB
Pia kuna vifurushi vingine havina ukomo wa utumiaji wa intanet hiyo ni kwamba umeachwa utumie intanet bila kupewa kifurushi/kipande chenye ukomo.

Ni sawa na kwenye vifurushi vya ving'amuzi ni kwamba channel zipo nyingi ila unapewa channel kulingana na pesa yako, ndivyo hvy hvy intanet ipo ya kumwaga ila unapewa ukomo kulingana na pesa yako.
 
Back
Top Bottom