Vitu vingi ni rahisi kwangu kuvipata, kiasi kwamba huwa sisherehekei fanikio lolote sababu toka mwanzo huwa najua ntalipata. Sio surprise wala halinipi excitement yoyote…Unauonaje Mziki wake 😂😂
Umemaliza, mie sio kiburi ila nikimaindi nakuwa mtu wa ajabu sana, ulcers ninazo...Pia viburi hatuambiliki na ugonjwa mkubwa unaotutesa ulcers 😹
Group O tukilibeba jambo mpk utakoma wewe.
Cha ajabu tuna huruma sana na kujitoa kwa wengine ndiomana tunawatolea damu group zote..!!
NIkikwambia tufanye jambo kwa ajili ya group O hutaki.makaveli10 tumefikiwa huku 😹
Mkuu utaratibu ni huu,,nje ya hapo unakuwa umepigwa.hii ni njia ya haraka ya ku scan kama mtoto ni wako.Hivi inawezekana mtoto mmoja kati ya watano akawa na kundi O huku wazazi na watoto wengine wanne wakawa na kundi la damu tofauti?
Vitu vingi ni rahisi kwangu kuvipata, kiasi kwamba huwa sisherehekei fanikio lolote sababu toka mwanzo huwa najua ntalipata. Sio surprise wala halinipi excitement yoyote…
Energy yetu ni ya kuattract.
However tuna huruma ambayo usipokuwa makini nayo watu watakuvuna sana….
Kwenye ligi hapo, sipendi ligi sababu huwa nataka kushinda by force by fire! 😂Mimi ni Group O+ nimezaliwa March.
Ni kweli huruma ipo.
Tunaupendo wa ndani usiohitaji Malipo.
Tunavumilia tunapokosewa
Tunapenda ku-share vizuri na wengine.
Wakweli na wanaosimamia jambo.
Tatizo ni pale mtu akikukosoea mara kwa Mara na akachukulia Wema wetu kama udhaifu. Tukiamua ligi ni ligi. Ngumu sana kusamehe mtu ambaye ulimpa nafasi nyingi
Kwenye ligi hapo, sipendi ligi sababu huwa nataka kushinda by force by fire! 😂
🤣 unanisingizia, sijawahi shindana na wewe….Ndio maana ulinishinda by force.
😹😹NIkikwambia tufanye jambo kwa ajili ya group O hutaki.
Haipingwi 😹
Kiasi nakuelewa ,ngoja nitafute ukimya niyatafakari haya,🙏🙏Ni ndefu kidogo isome kwa utulivu
Mambo ya makundi ya damu, alama za viganja, na tarehe za kuzaliwa yamekuwa yakitumiwa na wanadamu kwa karne nyingi kutafuta majibu kuhusu utambulisho na hatamani zao.
Katika muktadha wa kiroho, mambo haya huchukuliwa kama alama za kipekee zinazoashiria ufundi na mpango madhubuti wa Mungu Muumbaji.
Badala ya kuyaangalia kama bahati mbaya, mitazamo ya kiroho inaamini kuwa kila binadamu aliumbwa kwa makusudi maalum na kupewa sifa za kipekee zinazomtofautisha na kumuunganisha na nguvu za kimungu.
Katika upande wa makundi ya damu, kiroho inaaminika kuwa damu ndiyo msingi wa uhai na hubeba siri kubwa ya kiungu ndani ya mwili wa mwanadamu.
Maandiko mengi ya kidini yanasisitiza kuwa uhai wa kiumbe upo kwenye damu, na hivyo kundi lako la damu linaweza kuakisi aina ya nishati au wajibu wa kiroho uliobeba duniani.
Watu wengine huamini kuwa utofauti wa makundi haya unaonyesha jinsi Mungu alivyoweka mgawanyiko wa karama na tabia ili wanadamu wakamilishane na kutegemeana kama mwili mmoja.
Alama za viganja vya mikono nazo hubeba tafsiri nzito ya kiroho kama ramani ya maisha aliyochora Mungu tangu tumboni mwa mama.
Mistari iliyopo mikononi haitazamwi tu kama mikunjo ya ngozi, bali kama alama zinazoonyesha safari ya nafsi, uwezo wa ndani, na hatumu ya mtu.
Imani nyingi zinashikilia kuwa Mungu ameweka siri ya baraka na kazi ya mikono ya mtu kwenye viganja vyake, ikumbushe ahadi za kimungu kuhusu ulinzi na mwongozo katika maisha yake.
Tarehe ya kuzaliwa nayo ni kiashiria kikubwa cha wakati kamili ambao Mungu aliona ni sahihi kwako kuingia duniani ili kutimiza kusudi fulani.
Kiroho, namba na tarehe hazitokei kwa bahati mbaya; kila majira yana maana yake mbele za Mungu.
Kuzaliwa kwa tarehe fulani kunahusishwa na kubeba nishati maalum au sifa zinazokusaidia kupambana na changamoto za kizazi chako na kutimiza mpango wa kiungu uliopangwa kabla ya kuwekwa misingi ya dunia.
Mwisho kabisa, mambo haya yote yanapounganishwa, yanathibitisha uwepo wa Mungu kama Msanii Mkuu na Mhandisi wa maisha yetu.
Hakuna mwanadamu anayefanana kabisa na mwingine kwa alama za vidole, viganja, au muundo kamili wa nafsi, jambo linaloonyesha upendo na umakini wa Mungu kwa kila mtu mmoja-mmoja.
Kumbe, kutafuta tafsiri ya mambo haya ni njia ya mwanadamu kujitambua na kusogea karibu na Muumba wake ili aishi maisha yenye maana na kusudi.
Upo Sahihi mkuu!Vitu vingi ni rahisi kwangu kuvipata, kiasi kwamba huwa sisherehekei fanikio lolote sababu toka mwanzo huwa najua ntalipata. Sio surprise wala halinipi excitement yoyote…
Energy yetu ni ya kuattract.
However tuna huruma ambayo usipokuwa makini nayo watu watakuvuna sana….
Hiii mbaya mkuu aisee sio kundi zuri limekaa vibaya kiroho na mafanikio nazan pia ni kund limejaa sana kwa waafricaKundi la damu la A Chanya (A+) ni moja kati ya makundi yanayopatikana kwa wingi zaidi duniani (takribani mtu 1 kati ya 3 ana kundi hili). Kama lilivyo kundi la O+, kundi hili lina sifa zake za kipekee kibaolojia, kisaikolojia, na hata kiroho kulingana na mitazamo ya kitamaduni.
watu wenye kundi A wanachukuliwa kama "Wakulima" au "Wana-amani" (Peacekeepers). Tofauti na kundi O ambao ni wapiganaji wa nje, kundi A wana nguvu kubwa ya utulivu wa ndani lakini wanakabiliwa na changamoto mbalimbali Kama
1. Msongo wa Mawazo wa Ndani (Internalized Stress): Kiroho na kihisia, watu wa kundi A ni watulivu sana kwa nje na hawapendi ugomvi.
Hata hivyo, changamoto yao kubwa ni kumeza hasira na maumivu badala ya kuyatoa nje.
Hali hii husababisha "msongo wa mawazo wa ndani" unaoweza kufifisha nguvu zao za kiroho.
2. Ukaidi na Ukamilifu (Perfectionism): Wanapenda mambo yanyooke na kufuata utaratibu sahihi.
Changamoto yao ni kwamba wakiamini jambo fulani ni gumu kubadilika, na huwa wanapata shida sana kukubali mabadiliko ya ghafla au dharura.
3. Kujilaumu Kupitiliza (Guilt Complex):
Wana dhamiri (conscience) hai sana. Jambo linapoenda vibaya kwenye familia au kazini, huwa na tabia ya kujitwika lawama na kujihukumu wenyewe ndani ya mioyo yao, jambo linaloweza kuwatafuna kiroho.
Kama umenisema nipo hivyoKundi la damu la A Chanya (A+) ni moja kati ya makundi yanayopatikana kwa wingi zaidi duniani (takribani mtu 1 kati ya 3 ana kundi hili). Kama lilivyo kundi la O+, kundi hili lina sifa zake za kipekee kibaolojia, kisaikolojia, na hata kiroho kulingana na mitazamo ya kitamaduni.
watu wenye kundi A wanachukuliwa kama "Wakulima" au "Wana-amani" (Peacekeepers). Tofauti na kundi O ambao ni wapiganaji wa nje, kundi A wana nguvu kubwa ya utulivu wa ndani lakini wanakabiliwa na changamoto mbalimbali Kama
1. Msongo wa Mawazo wa Ndani (Internalized Stress): Kiroho na kihisia, watu wa kundi A ni watulivu sana kwa nje na hawapendi ugomvi.
Hata hivyo, changamoto yao kubwa ni kumeza hasira na maumivu badala ya kuyatoa nje.
Hali hii husababisha "msongo wa mawazo wa ndani" unaoweza kufifisha nguvu zao za kiroho.
2. Ukaidi na Ukamilifu (Perfectionism): Wanapenda mambo yanyooke na kufuata utaratibu sahihi.
Changamoto yao ni kwamba wakiamini jambo fulani ni gumu kubadilika, na huwa wanapata shida sana kukubali mabadiliko ya ghafla au dharura.
3. Kujilaumu Kupitiliza (Guilt Complex):
Wana dhamiri (conscience) hai sana. Jambo linapoenda vibaya kwenye familia au kazini, huwa na tabia ya kujitwika lawama na kujihukumu wenyewe ndani ya mioyo yao, jambo linaloweza kuwatafuna kiroho.
hahaha ! Wewe ndo yule uliyekuwa unahojiwa pale kwenye msafara.Nina injiniaring ya udaktari nimesoma SUA Dodoma Tanzania na kupata Gpa ya 32