Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli
Mazuri
Mabaya
Mazuri
- Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
- Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa kama ya umeme nafuu, maji safi …. Ni ngumu kuleta maendeleo
- Hajaogopa kuangalia mikataba mibaya hasa ya nishati na madin
Mabaya
- Ameshusha na kuongeza unyanyasaji kwenye demokrasia. Hasa wanasiasa wa upinzani na vyombo vya habari
- Ni mgumu kugundua kakosea na kubadilika. Vilevile amekuwa mjuaji wa kila swala kitu ambacho si kweli. Mfano kwenye uchumi hasa mfumo wa bank na mambo ya nje ameonyesha mapungufu sana
- Ni mtu wa visasi na hatufautishi Uraisi yay eye binafsi