yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Si kweliKuna mengine umepatia lakini kuna mengine umekosea kama hili la visasi. Kwa vile Rais Magufuli ni Msukuma, Wasukuma sio watu wa visasi, ni watu peace sana na ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini Tanzania, hakuna kabila linaloongoza kwa upendo kama Wasukuma sasa hivyo visasi vitoke wapi?.
Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa? - JamiiForums
Usije ukachanganya ukali na visasi, ukali wa rais Magufuli sio wa visasi, kama pale aliposema kuhusu wasaliti vitani huwa wanafanywa nini na kusema tuko kwenye Vita ya uchumi ni ngumu kuliko Vita ya silaha hivyo wasaliti hawawezi kuachwa waka survive, haya yalikuwa ni maneno tuu.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! - JamiiForums
Kwenye Haki za Wanyonge, Magufuli ni Kama Khalifa Mkuu Harun El Rashid wa Alfu Lela Ulela!. - JamiiForums
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People! - JamiiForums
NB. Simaanishi kwamba rais Magufuli ni malaika, no, rais Magufuli ni binaadamu tuu kama binaadamu wengine na kuna wakati anafanya makosa ya kibinaadamu na huko nyuma kuna makosa mengi tuu amefanya lakini tusimuhukumu kwa makosa ya nyuma au kwa mapungufu yake, bali tumuunge mkono kwa strength zake na anatupeleka wapi.
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums
P
Kwakuwa unawaza kwa tumbo ndio maana unawaza hayo
Sent using Jamii Forums mobile app