Mazuri na mabaya matatu ya Rais Magufuli

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,652
2,000
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli

Mazuri
 • Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
 • Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa kama ya umeme nafuu, maji safi …. Ni ngumu kuleta maendeleo
 • Hajaogopa kuangalia mikataba mibaya hasa ya nishati na madin

Mabaya

 • Ameshusha na kuongeza unyanyasaji kwenye demokrasia. Hasa wanasiasa wa upinzani na vyombo vya habari
 • Ni mgumu kugundua kakosea na kubadilika. Vilevile amekuwa mjuaji wa kila swala kitu ambacho si kweli. Mfano kwenye uchumi hasa mfumo wa bank na mambo ya nje ameonyesha mapungufu sana
 • Ni mtu wa visasi na hatufautishi Uraisi yay eye binafsi
Atakuwa raisi mzuri zaidi kama atarekebisha mabaya yake.
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
3,890
2,000
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli

Mazuri

 • Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
 • Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa kama ya umeme nafuu, maji safi …. Ni ngumu kuleta maendeleo
 • Hajaogopa kuangalia mikataba mibaya hasa ya nishati na madini

tumepokea maoni yako tutayafanyia kazi.... kijana unaonekana ni mzalendo sana
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,707
2,000
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli

Mazuri

 • Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
 • Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa kama ya umeme nafuu, maji safi …. Ni ngumu kuleta maendeleo
 • Hajaogopa kuangalia mikataba mibaya hasa ya nishati na madini

Mabaya

 • Ameshusha na kuongeza unyanyasaji kwenye demokrasia. Hasa wanasiasa wa upinzani na vyombo vya habari
 • Ni mgumu kugundua kakosea na kubadilika. Vilevile amekuwa mjuaji wa kila swala kitu ambacho si kweli. Mfano kwenye uchumi hasa mfumo wa bank na mambo ya nje ameonyesha mapungufu sana
 • Ni mtu wa visasi na hatufautishi Uraisi yay eye binafsi

Atakuwa raisi mzuri zaidi kama atarekebisha mabaya yake.
Ndugu, wewe ni mzalendo, ninaamini mchango wako huu umetoka kwenye kichwani chako halisi.
Watu wengi wanaochangia mara nyingi michango yao aidha imetawaliwa na hisia hasa upinzani na wengine matumbo yao hasa mapinduzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,207
2,000
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli

Mazuri

 • Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
 • Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa kama ya umeme nafuu, maji safi …. Ni ngumu kuleta maendeleo
 • Hajaogopa kuangalia mikataba mibaya hasa ya nishati na madini

Mabaya

 • Ameshusha na kuongeza unyanyasaji kwenye demokrasia. Hasa wanasiasa wa upinzani na vyombo vya habari
 • Ni mgumu kugundua kakosea na kubadilika. Vilevile amekuwa mjuaji wa kila swala kitu ambacho si kweli. Mfano kwenye uchumi hasa mfumo wa bank na mambo ya nje ameonyesha mapungufu sana
 • Ni mtu wa visasi na hatufautishi Uraisi yay eye binafsi

Atakuwa raisi mzuri zaidi kama atarekebisha mabaya yake.
Hakuna zuri acha kutudanganya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
narumuk

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
1,948

Umesahau hili
President Magufuli has finally decolonized Tanzania economically
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,867
2,000
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli

[*]Ni mtu wa visasi na hatufautishi Uraisi yay eye binafsi
[/LIST].
Kuna mengine umepatia lakini kuna mengine umekosea kama hili la visasi. Kwa vile Rais Magufuli ni Msukuma, Wasukuma sio watu wa visasi, ni watu peace sana na ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini Tanzania, hakuna kabila linaloongoza kwa upendo kama Wasukuma sasa hivyo visasi vitoke wapi?.
Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa? - JamiiForums

Usije ukachanganya ukali na visasi, ukali wa rais Magufuli sio wa visasi, kama pale aliposema kuhusu wasaliti vitani huwa wanafanywa nini na kusema tuko kwenye Vita ya uchumi ni ngumu kuliko Vita ya silaha hivyo wasaliti hawawezi kuachwa waka survive, haya yalikuwa ni maneno tuu.

Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! - JamiiForums

Kwenye Haki za Wanyonge, Magufuli ni Kama Khalifa Mkuu Harun El Rashid wa Alfu Lela Ulela!. - JamiiForums

Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People! - JamiiForums

NB. Simaanishi kwamba rais Magufuli ni malaika, no, rais Magufuli sio malaika, ni binaadamu tuu kama sisi binaadamu wengine wote hivyo pia Ni dhaifu kwa madhaifu ya kibinaadamu na kuna wakati anaweza kufanya makosa, na huko nyuma amefanya makosa mengi tuu ya kibinaadamu, mengine anarealize mwenyewe anarekebisha, mengine anaambiwa, ni msikivu, anabadilika, hivyo tusimuhukumu kwa makosa yake ya nyuma, kwa mapungufu yake,au kwa madhaifu yake ya kibinaadamu bali tumuunge mkono kwa mazuri yake, strength zake na mafanikio yake na ku concentrate na anatupeleka wapi Tanzania kama Taifa.

Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums

P
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,058
2,000
Kuna mengine umepatia lakini kuna mengine umekosea kama hili la visasi. Kwa vile Rais Magufuli ni Msukuma, Wasukuma sio watu wa visasi, ni watu peace sana na ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini Tanzania, hakuna kabila linaloongoza kwa upendo kama Wasukuma sasa hivyo visasi vitoke wapi?.
P.
Pascal unawatafutia watu ama ban au kuteseka na Nisan .

Wasukuma ni watu wazuri sana. Lakini kuna tabia za mtu mmoja moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,864
2,000
Kuna mengine umepatia lakini kuna mengine umekosea kama hili la visasi. Kwa vile Rais Magufuli ni Msukuma, Wasukuma sio watu wa visasi, ni watu peace sana na ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini Tanzania, hakuna kabila linaloongoza kwa upendo kama Wasukuma sasa hivyo visasi vitoke wapi?.
P.
Hata sisi tinishi nao Pasco, hili ndilo kabila linaloongoza kwa kukatana mapanga kwa kutumia watu wa kukodi ambao nao wengi ni Wasukuma. Hili ni kabila linaloongoza kwa visasi. Kama kweli Magufuli ni MSUKUMA basi hilo la visasi ni sehemu ya maisha yake. Mikoa yote ambayo ilikuwa haijui Mauaji ya kukatana mapanga kwa sasa inatisha kwa Mauaji hayo baada ya Wasukuma kuhamia huko wakitokea Shinyanga na Mwanza ambako ndiko chimbuko la Mauaji hayo. Mikoa kama Katavi, Rukwa na Songwe kwa sasa inatisha kwa Mauaji ya visasi wakati awali wenyeji wa mikoa hiyo hawa kujua visasi vya Mauaji kwa mapanga. Sanasana mikoa hiyo ilisifika kwa uchawi ambao ilikuwa vigumu kuuthibitisha na kiwango cha Mauaji hakikuwa kama kilivyo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,398
2,000
Kuna mengine umepatia lakini kuna mengine umekosea kama hili la visasi. Kwa vile Rais Magufuli ni Msukuma, Wasukuma sio watu wa visasi, ni watu peace sana na ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini Tanzania, hakuna kabila linaloongoza kwa upendo kama Wasukuma sasa hivyo visasi vitoke wapi?.
Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa? - JamiiForums

Usije ukachanganya ukali na visasi, ukali wa rais Magufuli sio wa visasi, kama pale aliposema kuhusu wasaliti vitani huwa wanafanywa nini na kusema tuko kwenye Vita ya uchumi ni ngumu kuliko Vita ya silaha hivyo wasaliti hawawezi kuachwa waka survive, haya yalikuwa ni maneno tuu.

Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! - JamiiForums
Kuna mtu alikuambia ni musukuma ?
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,867
2,000
Hata sisi tinishi nao Pasco, hili ndilo kabila linaloongoza kwa kukatana mapanga kwa kutumia watu wa kukodi ambao nao wengi ni Wasukuma. Hili ni kabila linaloongoza kwa visasi. Kama kweli Magufuli ni MSUKUMA basi hilo la visasi ni sehemu ya maisha yake. Mikoa yote ambayo ilikuwa haijui Mauaji ya kukatana mapanga kwa sasa inatisha kwa Mauaji hayo baada ya Wasukuma kuhamia huko wakitokea Shinyanga na Mwanza ambako ndiko chimbuko la Mauaji hayo. Mikoa kama Katavi, Rukwa na Songwe kwa sasa inatisha kwa Mauaji ya visasi wakati awali wenyeji wa mikoa hiyo hawa kujua visasi vya Mauaji kwa mapanga. Sanasana mikoa hiyo ilisifika kwa uchawi ambao ilikuwa vigumu kuuthibitisha na kiwango cha Mauaji hakikuwa kama kilivyo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makabila wanaopakana na Wasukuma, wanawaponza sana Wasukuma.
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom