- Unajua ni mtu mpumbavu ndio hujfanya anajua sana kama wewe na uchungaji wako mbuzi sana, ya kutibiwa nimekujibu sana kwamba wataalamu ndio humua sio mgonjwa wala serikali, sure ukijibu pumba na wewe unarudishiwa pumba zako, Slaa kushindwa kulipa kodi inaonyesha jinsi Chadema isivyo serious na ndio maana wananchi wanashituka kwenye kura, maana sio wajinga!
- Ha! ha! ninamjua Bala kwa muda mrefu sana kaangalie topic ya muziki uone ni ya mwaka gani nilikuwa naye kule hanidanganyi hata siku moja! ha! ha! kama wewe vile! ha! ha!
- Much Respect Mkuu Sana wa JF, Saigon ha! ha!!
Willie @ NYC, USA.