Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mama G, hivi wale wa Rombo nao si walikuwa wanavuka mpaka kwenda Kenya?
 
Utulivu kwenye ndoa, kuna kuwa hakuna bla bla nyingi
Aahh!wapi!wanatulizwa na pesaaaa!!!hakuna lolote!!!kama kweli wanawapenda mbona hawaolewi na wachimba chumvi!wanafuata wenye majina yao mjini!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…