Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

duh hivi wewe ni mwehu hivi
 
Sawa tutaangalia tulipokeseaa
 
Ukifika huko wanakuchemshia matoke hata nyanya hakuna,halafu hao wananjunjana wenyewe kwa wenyewe na lazima azae na ndugu yake japo katoto kamoja(hapa lazima usingiziwe mtoto) nakujua ndo maana nakuambia utarudi na nitakupokea
Katika safari yetu ya kuolea nje wale wakutukatisha tamaa hamtakoso. Sisi tuna songa mbere (in Magu z voice)
[emoji2]
 
Katika safari yetu ya kuolea nje wale wakutukatisha tamaa hamtakoso. Sisi tuna songa mbere (in Magu z voice)
[emoji2]
Yaan nakuangalia jinsi ambavyo anazaliwa mtoto si wako nabaki nacheka tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ha Ha Ha kwenye kupika wale ndugu zetu wanajua kuchemsha makande tu ,githeri mchele kwao mpaka yesu au mtume akizaliwa,wanaume wetu jamani lakini why?
Mchawi wenu ni nyie..!

1: Kudanga kwingi
2: Kuomba pesa hovyo
3: Kushinda na kulala mtandaoni badala ya kitandani.
4: Uvivu na akili kichele.
5: Gubu zisizo za lazima.
 
Mchawi wenu ni nyie..!

1: Kudanga kwingi
2: Kuomba pesa hovyo
3: Kushinda na kulala mtandaoni badala ya kitandani.
4: Uvivu na akili kichele.
5: Gubu zisizo za lazima.
Unatusingizia kwani hao wa huko hawapendi pesa acha zako
 
Aiseee nimeipenda mistari yako.Nitaendelea kuipenda nchi yangu.
 
Wewe Umetahiriwa,wale Wanaume zao hawajatahiriwa,unafkiri anaweza kukaa na wewe bila kuonja alizozoea,yaani utagongewa mpaka basi
Katika safari yetu ya kuolea nje wale wakutukatisha tamaa hamtakoso. Sisi tuna songa mbere (in Magu z voice)
[emoji2]

Basi Jamani Tutajirekebisha
Mchawi wenu ni nyie..!

1: Kudanga kwingi
2: Kuomba pesa hovyo
3: Kushinda na kulala mtandaoni badala ya kitandani.
4: Uvivu na akili kichele.
5: Gubu zisizo za lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…