Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Hala halaaa halaaa nyie wanaume wa Kitanzania msidhani tunafurahia sana hii tabia yenu mbaya,mmetugezua sisi uwanja wa mazoezi kila siku mwacheza viwanja vyetu vya nyumbani lakini Mechi mwaenda nchi za jirani,hamjielewi mwadhani sisi tutaolewa na nani kama nyie mwaoa Rwanda,Kenya,Uganda sijui wapi mwafikiri kuwa wanawake wa huko wazuri kuzidi nyumbani kwenu,ama kweli nabii hakubaliki kwao,kwa taarifa yenu tulifanya jitihada zote tukamtoa nduli zari wa Uganda.

Wanawake wa Tanzania tupo kwenye maombi mazito hizo ndoa zenu ziwe majanga muachane mrudi nyumbani kuoa Ally kiba tunaokumbea uachane na huyo mwanamke waty wa Mombasa wakusaidie weee urudi nyumbani uoe umezalisha huku kama kuku halaf unaenda kuoa jirani hii dharau tukiwaroga mnalalamika,tunawaambieni dawa zenu zinachemka ,mbona mimi nilimuacha msomali nimekuwa na Mngoni wangu G kwa sababu mim ni mzalendo ila na mapigo yalichangia tu kiukweli ndio maana G akafanya mapinduzi makubwa akachukua mzigo jumla ni uzalendo tu pia (Mngoni Nakupendaaaaaaa balaaa)

Tunaomba Mheshimiwa Makonda najua unapita pita humu naomba utusaidie wanawake wa Tanzania mwishowe wote watakuwa wasagaji sasa ,maana wanaume wanakimbilia jirani tu,ingilia kati hili swala hakuna mwanaume kuoa nje ,mazoezi nyumbani mechi ziwe nyumbani pia alaaa, hapa mtakuja na visingizio hakuna cha visingizio sijui oooh tupoje hamridhiki nyinyii
Mnakimbilia kwa watu wa Rwanda wenye visimi virefu kama ile dawa ya mbu ya zamani ile ilikuwa ya duara nimeisahau jina,watu wana maji kama mito,mnaacha wanawake wa kitanzania wazuri,waaminifu,hawapendi pesa ,wanajua kupika,wanajua mapenzi mnataka laana nyie wanaume wetu,mnatukosea sana.

Tupo kwenye maombi mazito yeyote anaethubutu kuoa nje au kufikiria tunaomba aache mara moja,na ndoa zenu zitakuwa majanga mrudi nyumbani mtakuwa mnadanganywaa ooh huyu mgeni kaka yangu kumbe bwana ake,tena wanawake wa kitusi ndio tabia zao umemuoa wewe lakin akienda salimia kwao anarudi na ujauzito maana wanajionaga wale nao utafikiri wazungu
Kuweni wazalendo pendeni vya kwenu
Povu ruhusa maana hampendi kuambiwa ukweli
Wanawake wa Tanzania Tuseme Ameeeen

Mama Sabrina nishamaliza ukipenda niite mama G
 
Hala halaaa halaaa nyie wanaume wa Kitanzania msidhani tunafurahia sana hii tabia yenu mbaya,mmetugezua sisi uwanja wa mazoezi kila siku mwacheza viwanja vyetu vya nyumbani lakini Mechi mwaenda ncho za jirani,hamjielewi mwadhani sisi tutaolewa na nani kama nyie mwaoa Rwanda,Kenya,Uganda sijui wapi mwafikiri kuwa wanawake wa huko wazuri kuzidi nyumbani kwenu,ama kweli nabii hakubaliki kwao,kwa taarifa yenu tulifanya jitihada zote tukamtoa nduli zari wa Uganda.

Wanawake wa Tanzania tupo kwenye maombi mazito hizo ndoa zenu ziwe majanga muachane mrudi nyumbani kuoa Ally kiba tunaokumbea uachane na huyo mwanamke waty wa Mombasa wakusaidie weee urudi nyumbani uoe umezalisha huku kama kuku halaf unaenda kuoa jirani hii dharau tukiwaroga mnalalamika,tunawaambieni dawa zenu zinachemka ,mbona mimi nilimuacha msomali nimekuwa na Mngoni wangu G kwa sababu mim ni mzalendo ila na mapigo yalichangia tu kiukweli ndio maana G akafanya mapinduzi makubwa akachukua mzigo jumla ni uzalendo tu pia (Mngoni Nakupendaaaaaaa balaaa)

Tunaomba Mheshimiwa Makonda najua unapita pita humu naomba utusaidie wanawake wa Tanzania mwishowe wote watakuwa wasagaji sasa ,aana wanaume wanakimbili jirani tu,ingilia kati hili swala hakuna mwanaume kuoa nje ,mazoezi nyumbani mechi ziwe nyumbani pia alaaa, hapa mtakuja na visingizio hakuna cha visingizio sijui oooh tupoje hamridhiki nyinyii
Mnakimbilia kwa watu wa rwanda wenye visimi virefu kama ile dawa ya mbu ya zamani ile ilikuwa ya duara nimeasahau jina,watu wana maji kama mito,mnaa ha wanawake wa kitanzania wazuri,waaminifu,hawapendi pesa ,wanajua kupika,wanajua mapenzi mnataka laana nyie wanaume wetu,mnatukosea sana

Tupo kwenye maombi mazito yeyote anaethubutu kuoa nje au kufikiria tunaomba aache mara moja,na ndoa zenu zitakuwa majanga mrudi nyumbani mtakuwa mnadanganywaa ooh huyu mgeni kaka yangu kumbe bwana ake,tena wanawake wa kitusi ndio tabia zao umemuoa wewe lakin akienda salimia kwao anarudi na ujauzito maana wanajionaga wale nao utafikiri wazungu
Kuweni wazalendo pendeni vya kwenu
Povu ruhusa maana hampendi kuambiwa ukweli
Wanawake wa Tanzania Tuseme Ameeeen

Mama Sabrina nishamaliza ukipenda niite mama G
Hahahahahahaha......eti "watu wa rwanda wenye visimi virefu kama ile dawa ya mbu ya zamani ile ilikuwa ya duara" hatareeeeee.......ulishawakagua ndio ukagundua hilo? Ila maombi yako yatakwama tuu coz kilichounganishwa na mungu hakuna wa kukitenganisha. Wewe pambana na hali yako tu.Saasawa kijana
 
Unaikumbuka ile dawa ya zamani ilikuwa rangi ya kijani ilikuwa ya kuchoma inakuwa inaisha kwa kuzunguka ndio hiyo sasa
Mambo yangu yatakuwa kweli na mtashindwaa kwa Jina la muumba
 
Unaikumbuka ile dawa ya zamani ilikuwa rangi ya kijani ilikuwa ya kuchoma inakuwa inaisha kwa kuzunguka ndio hiyo sasa
Mambo yangu yatakuwa kweli na mtashindwaa kwa Jina la muumba
Acha mkwara, wewe pambana na hali yako tuu. Karibu kanisani kwangu kwa ajili ya maombi. Kanisa linaitwa BREAST AND HONEY FELLOWSHIP INTERNATIONAL, huku hutajutia.
 
Nina Marehemu dadangu alikuwa anaumwa akasikia Burundi kuna dawa alivyopata nguvu akaenda,kila nkimpigia analalamika mavyakula mabaya jamani hawajui kupika,kila siku kilio chake hicho,maskini mpaka akafariki,kuna wanyarwanda nlikuwa nafanya nao kazi kuku,mayai dagaa alikuwa hajui na hajawai kula (akitoka kwao anakuja na unga wa ulezi sijui ndo wanapikia ugali kwao alivyokuja nao nikawafundisha kupika uji mwe mwe mwe nlijiroga wote wakajipanga wajifunze kupika uji),wachoyo jamani
Embu wanaume zetu bakini huku tuwakarangizie
 
Back
Top Bottom