"Mazoezi" Dhana mpya Ya Udangaji na Utongozaji kwa Wanaume

Ujasiliamali ni hari ya kufanya biashara katika hali ya tofauti, ubunifu na utapekee.
Ukiona hvyo jua wapo kwenye ujasiliamali sasa
 
Jaman Tufanye mazoezi kwa afya maana Magonjwa yanayotokana na mtindo Wa maisha ni mengi Sana.. Tulio serious kufanya road runner Sidhani Kama hata tunawaza kutongoza ingawa unakutana na wanawake wengi wa kila namna na shape.. .. Maana target Inakuwa umalize distance unayotaka Na time.. Ngoja Leo niingie km 35.View attachment 1458387

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hatari, huwa nakimbia mara tatu kwa wiki 15km at 6pace
 
Katika wakati huu kumeibuka Dhana ya kufanya mazoezi maeneo ya beach, barabarani na katika Gym kwa maana ya kuweka miili fit na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza..
Kiuhalisia Mazoezi Ni jambo jema na ni la maana sana kulichukulia kwa uzito.. Na kama mtu akifanya hivyo kwa nia njema basi Alhamdulilah..

Lakini kumeibuka hii tabia ya watu wa mjini kufanya mazoez kwa ajili ya kuwinda madem na Madem kwenda kuwinda Madanga.. (Unakuta mtu huyu hana hata nia Ya kufanya mazoez ila kuchukua namba za Madem au Dem kujilengesha kwa wanaume) Angalia wanawake wanavyovyaa sehem za Gym? Ohoooo na vile siku hizi Misambwanda ndo deal.. Huchomoki Mwanawane..

Totoz zinakula Suruali za mazoez ambazo Kama Mwanaume uliyekamilika lazima tu utajikuta umelipa Kodi.. achilia mbali kwenye matamasha ya Marathon ambayo watu wanasafiri na ku Camp mikoani huku wakila pombe na kujichagulia Totoz Huku wakiaga familia zao kwa maana ya kwenda kuweka miili fit..

Mazoezi Yamekuwa Fursa Ya ngono kwa baadhi ya watu (sio wote)

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga kelele kwa kwioooo wake.

Kwani unateseka ?
 
Jaman Tufanye mazoezi kwa afya maana Magonjwa yanayotokana na mtindo Wa maisha ni mengi Sana.. Tulio serious kufanya road runner Sidhani Kama hata tunawaza kutongoza ingawa unakutana na wanawake wengi wa kila namna na shape.. .. Maana target Inakuwa umalize distance unayotaka Na time.. Ngoja Leo niingie km 35.View attachment 1458387

Sent using Jamii Forums mobile app
we kweli kijana , mi kutembea hizo km sawa ila sio kukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzwazwa, mazoezi ni maisha. Kupata demu/danga pia ni sehemu ya maisha. Watu wanazengea nyumba za ibada kutafuta umoto umoto sembuse mazoezini.
Halafu watu kudangana, kutongozana ni jambo la kiroho ambalo huanzisha mwendo wa kutimia kwa lile andiko, "Zaeni, mkaijaze dunia".
Unachukiaje watu wakitongozana, kama hutongozwi wewe, wala hudangwi wewe!
Let people https://jamii.app/JFUserGuide around, however they like.
You may join them if you want some!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom