Mazoea ya kulala bila nguo

Mazoea ya kulala bila nguo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,104
Reaction score
14,029
Msimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu.

Kama wewe ni jinsia Ke basi Ruksa kulala bila nguo.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
 
Nikiwa uchi hata nikiwa mwenyewe ndani napoteza confidence, Unalala uchi unakuja kushtuka umeparalaizi mwili wote ni shingo na kichwa tu vinafanya kazi sasa kuita msaada unaweza ila tatizo wakiingia wanakukutaje na ubaya hujanyoa muda sana
 
Back
Top Bottom