maziwaaaaaa...

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jamaa siku 1 akiwa katka pita pita zake
mtaan akahis kiu ya maji,ikabid aende
nyumba ya karibu.mara akabisha hodi
na kuomba maji ya kunywa,lakin
akaletewa maziwa, akayanywa yale
maziwa baada ya kumaliza akasema nashukuru ila nataka maji sio maziwa,
cha ajabu mara ya ya 2 tena akaletewa
maziwa ikabid aulize kwa nin anaomba
maji lakin anapewa maziwa? Akajibiwa
kuna maziwa mengi ndani na hakuna
mtu wa kuyanywa kwani paka kayakojolea,,jamaa kwa mshangao
akadondosha glas ,, kulikuwa na mtoto
pemben akadakia ...eehhh umepasua
glas ya bibi ya kutemea makoozi, mara
bibi akadakia ziko nyingi tuuu mjukuu
wangu wangu.. Jamaa whaaat??? siakazimia......teh tehhhhhh
 
yani umekiandika fasta fasta mpaka kikawa sio kichekesho tena bali msomaji yambidi kusahihisha sentensi zako ndio apate kuelewa maana (ulivokiandika kimepoteza maana ya kichekesho)
 
thanx mkuu, ingawa inatia kinyaa kha, nyummba ina nuksi hyoo lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom