Maziwa ya azam

aikambe

Member
Jul 5, 2014
90
14
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.
 
mkuu soma instructions pengine ni mgando sio fresh
 
Niliwahi kutumia Azam- low fat, niliweka kwenye fridge nilipoamka nikakuta yameganda, nikayatoa, yakayeyuka (melt) yalikuwa bado yapo fresh nikayanywa. ......
 
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.

Yamewekwa Halua Halua Mkuu.
 
Azam TV, Juis, Malt, Soda, Maziwa, Timu ya mpira, Chapati kwa muda mfupi hv inanipa shaka kama kweli alifanya utafiti wa soko na satisfaction za wateja.Soon utasikia LOW COST AZAM AIRLINE (Dar - Zanzibar)
 
Back
Top Bottom