ThePromise
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 210
- 48
hii ya ujauzito nahisi inategemea mana wengine wanashika ujauzito lakini hayaongezeki yanabaki hivyohivyo................sasa ina maana mtu huyu ana matatizo?..........mana ujauzito anao na maziwa yako hivyohivyo.Kamata ujauzito, tatizo kwisha.
hii ya ujauzito nahisi inategemea mana wengine wanashika ujauzito lakini hayaongezeki yanabaki hivyohivyo................sasa ina maana mtu huyu ana matatizo?..........mana ujauzito anao na maziwa yako hivyohivyo.
mdogo wangu ndo yuko hivyo maziwa hayajaongezeka hata kidogo ingawa ana mimba.............ah MAN U msimu huu lazima tutishe ingawa mpira hautabiliki kama Balotelli alivyowafanya wajerumani.........ni noma.Umejuwaje sister? na we uko hivyo? Man U mate vp msimu huu 2tatoka au ndo kama last season?
duh yako kali.Tafuta mwanamume anayetumia mkono wa kushoto..akikutomasa wiki moja tuu kwisha habari....
mdogo wangu ndo yuko hivyo maziwa hayajaongezeka hata kidogo ingawa ana mimba.............ah MAN U msimu huu lazima tutishe ingawa mpira hautabiliki kama Balotelli alivyowafanya wajerumani.........ni noma.
nadhani fergue atafanyia kazi hilo...........mimi sina sehemu maalum inategemea.............eh EPL ndo wapi?Ili kutisha tunahitaji Play maker mwingine na striker mmoja zaidi, huwa unatazamia wapi EPL?
my dia pole kwa tatizo lako,njoo kwetu huku bukoba kuna wadudu wanapatikana mtoni ukiwaweka kwenye matiti wakikuuma tu basi linakuwa kuubwa na tatizo lako litakuwa limetatulika kama vipi ni pm ntakupa maelezo zaizi...habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. Mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. Napenda maziwa makubwa. Hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
Tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .
nadhani fergue atafanyia kazi hilo...........mimi sina sehemu maalum inategemea.............eh EPL ndo wapi?
nshakutia aibu.............ahsante kwa kunijuza.EPL ni English Premier League (ligi ya soka ya uingereza) na si kwamba ni place.....usintie aibu mate!
:focus:Ili kutisha tunahitaji Play maker mwingine na striker mmoja zaidi, huwa unatazamia wapi EPL?
habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. napenda maziwa makubwa. hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .