maziwa madogo (matiti) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maziwa madogo (matiti)

Discussion in 'JF Doctor' started by Nyakwaratony, Jun 28, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. napenda maziwa makubwa. hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
  tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mmh! can we meet in person pliz, I guess I can help u in this..!
   
 3. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  njia moja wapo ni matiti yakishikwashikwa na kutomaswa na mikono ya mwanaume huwa yanaongezeka! na yakinyonywa pia!
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280

  Duh!
  Ushauri wenu kiboko. No more comments
   
 5. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nimeomba ushauri na sio kutaka kukutana na mtu!
   
 6. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  asante kwa ushauri!
   
 7. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nawe ushaur wako mkuu!
   
 8. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ziko dawa asilia. Waone wataalamu.
   
 9. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamata ujauzito, tatizo kwisha.
   
 10. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  THIS IS A GENETIC MAKEUP, naona wengine wanatoa ushauri wa mtaani. Ila hili suala ni biological issue. May be kama utaonana na madaktari bingwa wa wanawake wakakupa ushauri mzuri zaidi...
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  wengine tunapenda hivyo viduchu. keep it up
   
 12. mbuvu

  mbuvu Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ili yakuwe yanahitaji kutomaswa sana na kunyonywa hiyo ndio dawa
   
 13. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli JF ni kisima cha burudani
   
 14. K

  Kailanga Senior Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  washauri nasaha kama wewe taifa hili linawahitaji!
   
 15. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  wataalamu gani?
   
 16. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 580
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 180
  Nita suggest kwa GF wangu asome thread hii.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  breast implementation
   
 18. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwanini kujitafutia matatizo? boyfriend wako amekubaliana na wewe kwamba utafute artificials? au ndo mmeshamwagana naye. Ni kwani hamjiamini na uumbaji wa Mungu nyinyi wakina mama? wewe umeshaambiwa ni hormone hizo, sasa bado unatfuta kumchallenge Muungu aliyekuumba kwa kutafuta artificial (mchina)? wewe un bahati lkn sasa unajitafutia matatizo.

  Mimi nakushauri ujiamini na umshukuru Mungu wako kwa uumbaji wake kwako na usonge mbele na maisha. Achana na tabia ya kujirundukia artificials mwilini,ipo siku utakuja ujutie. Pia, vitu vingine ni logic tu na wala huitaji kuja hapa jamvini, kwani hapa kuna watu wa kila aina. Wapo wasiojali matokeo ya kile wanachokushauri kwani huo utakuwa ni mzigo wako. Ni bora uwe na amani, na kikuu ni kwamba UJIAMINI na uachane na maisha ya kuigiza hayo.
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kweli shukuru MUNGU wenzako wanayatafuta hayo hawayapati utajaambulia Nido hai tumboni ukose sidiria
   
 20. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unaweza kuleta na picha ili tujadili kitu wakati tumeona ukubwa wake.....
   
Loading...