maziwa madogo (matiti)

Kweli wewe uko so artificial!haya,ukapewa hiyo dawa yakawa unavyotaka utamsifu nani kwa uumbaji?Mungu au binadamu alokupa that dawa?jiamini dada Mungu kakuumba ulivyo akiamin umekamilika,hangaika uone kilichomtoa kanga madoa!
 
Dah! watu wengine mnatafuta matatizo, hiyo ni genetical make up yako Mungu kakupendelea wenzio wanakosa saizi ya sidiria. yaache yalivyo ukipata ujauzizo yenyewe yataongezeka kwa kuwa yanakua/ongezeka kutokana na hormonal function, ukitumia dawa japo zipo yanaweza kuwa oversize yakakuwia kero..
 
Kamata ujauzito, tatizo kwisha.
hii ya ujauzito nahisi inategemea mana wengine wanashika ujauzito lakini hayaongezeki yanabaki hivyohivyo................sasa ina maana mtu huyu ana matatizo?..........mana ujauzito anao na maziwa yako hivyohivyo.
 
Umejuwaje sister? na we uko hivyo? Man U mate vp msimu huu 2tatoka au ndo kama last season?
 
Last edited by a moderator:
Umejuwaje sister? na we uko hivyo? Man U mate vp msimu huu 2tatoka au ndo kama last season?
mdogo wangu ndo yuko hivyo maziwa hayajaongezeka hata kidogo ingawa ana mimba.............ah MAN U msimu huu lazima tutishe ingawa mpira hautabiliki kama Balotelli alivyowafanya wajerumani.........ni noma.
 
No way hivyo ndivyo ulivyoumbwa, kubali maumbile yako ndo maana kuna wafupi, wanene, warefu , wembamba, nk
 
mdogo wangu ndo yuko hivyo maziwa hayajaongezeka hata kidogo ingawa ana mimba.............ah MAN U msimu huu lazima tutishe ingawa mpira hautabiliki kama Balotelli alivyowafanya wajerumani.........ni noma.

Ili kutisha tunahitaji Play maker mwingine na striker mmoja zaidi, huwa unatazamia wapi EPL?
 
Ili kutisha tunahitaji Play maker mwingine na striker mmoja zaidi, huwa unatazamia wapi EPL?
nadhani fergue atafanyia kazi hilo...........mimi sina sehemu maalum inategemea.............eh EPL ndo wapi?
 
habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. Mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. Napenda maziwa makubwa. Hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
Tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .
my dia pole kwa tatizo lako,njoo kwetu huku bukoba kuna wadudu wanapatikana mtoni ukiwaweka kwenye matiti wakikuuma tu basi linakuwa kuubwa na tatizo lako litakuwa limetatulika kama vipi ni pm ntakupa maelezo zaizi...
 
nadhani fergue atafanyia kazi hilo...........mimi sina sehemu maalum inategemea.............eh EPL ndo wapi?

EPL ni English Premier League (ligi ya soka ya uingereza) na si kwamba ni place.....usintie aibu mate!
 
Dunia ina mambo mwenye madogo anataka makubwa na mwenye makubwa anataka madoogo
 
habari za asubuhi wapendwa,naomba ushauri / msaada. mimi nina maziwa madogo ya kuna nguo nikivaa usinitilia maanani unaweza kudhan hayapo. napenda maziwa makubwa. hivi naweza kula vyakula gani ili yaongezeke au nifanyeje.
tafadhali dawa za kichina sizitaki. . .

Sitakushauri ukuze matiti yako...bali nakushauri ujikubali jinsi ulivyo. Kukua kwa matiti kunachangiwa na vitu vingi sana vikiwemo genetically na physiologically (hormones). kuna watu kwao wana matiti makubwa, na wengine matiti madogo, na yenye shepu tofauti. hakuna uwezacho kula kikakuza matiti au kuyapa umbo ulipendalo. Kitu pekee kinachoweza kukupa hilo ni 'plastic surgery' tu. WaChina hawana guarantee kama yatakuwa utakavyo (yanaweza hata kuwa hayawiani size na muonekano).

Kama hujawahi kuzaa pia tegemea matiti yako yataongezeka (hata kidogo) utakapokuwa mja mzito na kunyonyesha, lakini bado hutaepuka muonekano wa kuwa na matiti madogo.

La busara ni kujikubali ulivyo, na mwenza/mpenzi wako naye akubali ulivyo...na maisha yaendelee!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom