VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Nadhani ile maiti ilienda kuchukuliwa Hospitali na kuiacha nyumbani kuona kama itaanza kuoza au la, maana nasikia huwa unakuwa ni mgomba na wala sio mtuningependa kujua pia, hatma ya mambo ya LAMADI!! nchi yangu ya TANZANIA, INA wakufunzi mpaka kwenye science za kiroho!! MAKOFI KWETU kwa! kwa! kwa! kwa! nonsense!
sijui tulirogwa na nani?? Tuhurumiwe sana kwa kweli!nadhani ile maiti ilienda kuchukuliwa hospitali na kuiacha nyumbani kuona kama itaanza kuoza au la, maana nasikia huwa unakuwa ni mgomba na wala sio mtu
sijui tulirogwa na nani?? Tuhurumiwe sana kwa kweli!
Nadhani ile maiti ilienda kuchukuliwa Hospitali na kuiacha nyumbani kuona kama itaanza kuoza au la, maana nasikia huwa unakuwa ni mgomba na wala sio mtu
nawatoa kidogo nje ya topic: inasemekama yule mh. wa vijisenti haya ndio maeneo anayotokea na wote mnakumbuka jinsi alivyofanya 'muujiza' wa unga wa bungeni na mpaka sasa anadunda bila wasi. Nchi hii ina safari ndefu kufika iendako!Acha mambo ya kudhani, maiti ilizikwa nyumbani kwa mwanamke anayetuhumiwa kuwa mchawi. Ile maiti baadae ilionekana ni ya Bibi kizee si ya yule mama mwenye mtoto aliedhaniwa kafa. Mazingaombwe haya walichezewa.
I got this from reliable source from Lamadi.
mbombo ngafuAcha mambo ya kudhani, maiti ilizikwa nyumbani kwa mwanamke anayetuhumiwa kuwa mchawi. Ile maiti baadae ilionekana ni ya Bibi kizee si ya yule mama mwenye mtoto aliedhaniwa kafa. Mazingaombwe haya walichezewa.
I got this from reliable source from Lamadi.
nawatoa kidogo nje ya topic: inasemekama yule mh. wa vijisenti haya ndio maeneo anayotokea na wote mnakumbuka jinsi alivyofanya 'muujiza' wa unga wa bungeni na mpaka sasa anadunda bila wasi. Nchi hii ina safari ndefu kufika iendako!
Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki hospitalini. Mkuu Kiba na wengine naomba kufahamishwa mazishi yalifanyika? Nini kilitokea? 'Marehemu' anasemaje kuhusu kufa kwake? anaendelea kunyonyesha?
Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo
ndio kimkoa anatoka mkoa wa simiyu, lakini lilipotokea hili tukio ni wilaya nyingine tofauti na anapotoka mzee wa vijisenti. Wiki hii kabla ya hili tukio nilikuwepo pale kuonana na jamaa yangu ambaye ndie source wangu kwa hizi info.
thank you kwa taarifa
nikirud kwenye quotation yako hapo chini ya jei kei,ni kweli kwamba wanafunzi wanaopata mimba ni kwa sababu tu ya kihere here chao??