MAZISHI yalifanyika?

MAZISHI yalifanyika?

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa, hili swali lingemfaa zaidi baba mwanaAsha kwani inawezekana alitest akamjaza mimba ndo aka conclude ni kwa sababu ya kiherehere chao. Ama pengine Mzee Makamba alimwambia, si unajua huyu mzee alishawahi kumjaza denti!!!


thank you again..
:smile: :smile:
 
Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki hospitalini. Mkuu Kiba na wengine naomba kufahamishwa mazishi yalifanyika? Nini kilitokea? 'Marehemu' anasemaje kuhusu kufa kwake? anaendelea kunyonyesha?

Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo

Mkuu, full story, tembelea www.mwananchi.co.tz
 
Tanzania kila kitu tumejaaliwa ni sisi tu, tuangalie jinsi ya kuvitumia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom