Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii